European cars spare parts

Nashukuru nimepata wana JF wameniunga mkono,natumaini na wao wameridhika na bidhaa walizonunua kwangu...nawakaribisha wote msisite kuja au kuniuliza kitu chochote kuhusu magari ya ulaya!! nimeleta vitu vingi sana kwa watu mbalimbali wakiwemo walionijua kupitia JF natumaini watakuja hapa kutoa feedback zao. ASANTENI na KARIBUNI SANA.
 
wana JF napenda kuwafahamisha kuwa naweza kukuletea engine complete au gearbox used ya magari niliyoyataja,european makes kwa order maalum,karibuni
 
wana JF nawashukuru kwa kuniunga mkono....naomba muendelee,hata wale wenye toyota gx110,corolla,rav4 karibuni nina service parts za magari hayo.....
 
vivian pitia hii thread then tuwasiliane nikusaidie
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naamini soko likiwakibwa utaitaji navijana wazalendo wakifanya nao kazi, vp nikutafute?
 
Nimeleta taa za nyuma za DISCOVERY 3 & 4.....Kama unataka DISCOVERY 3 yako iwe kama DISCOVERY 4 unachotakia kufanya ni light[lens] upgrade tu....unabadili taa na badge gari ishabadilika toka 2005 mpaka ya 2009!!!
 
Wana JF na wateja wangu kwa jumla nimeongeza huduma ya DIAGNOSIS kwa magari ya europe na japan....nina mashine latest kabisa kwa gari za kisasa na zamani....karibuni sana
 
karibuni...nina BRAKE PADS za
1. VW TOUREG
2.VW GOLF
3.VW PASSAT
4.AUDI A4
5.AUDI Q7
6.BMW X5
7.BMW 3/5 SERIES
8.VOLVO S40/S60/S80/XC90
9.LANDROVER DISCOVERY 2/3/4
10. RANGE ROVER/SPORTY
 
Kiongozi spare za Honda Civic nitapata? Kuna kamkoko kana tatizo kidogo natakiwa kubadilisha some parts

nipe specs za gari au part number,mkuu

naomba utumie namba ya simu hapo juu,nimebanwa kidogo huwa siingi sana JF
 
bushlawyer tembelea hapa....moja ya magari rahisi ya ulaya kuyamiliki ni hio merc c180.....nakushauri nunua W203[2000-2007] au kama mfuko uko vizuri nunua W204[2008-]

kuhusu parts zake wasiliana na mimi naleta genuine from UK na GERMANY
 
Last edited by a moderator:
dhk1 mafundi wa hizo gari wapo. ni moja ya magari common sasa hivi,namba zangu zipo hapo juu mpe rafiki yako nakuhakikishia nitamaliza usumbufu wote na ataipenda hio gari, asiwe mbahili tu hio ni MERCEDES BENZ.
 
Last edited by a moderator:

Kaka,
Una Engine Mounting za BWM 318??
Wauzaje?
 

Kaz nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…