- Thread starter
- #81
Kaka,
Una Engine Mounting za BWM 318??
Wauzaje?
BMW 318 kuna:
engine mounts
shock absorber zote nne
complete wishbone
stabilizer link
tie rod end assembly
wishbone bushes
brake pads
service parts zote
karibu sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka,
Una Engine Mounting za BWM 318??
Wauzaje?
Nitakutafuta mkuu tuongee biashara kwenye filters.service parts kama oil/fuel/air/cabin filters ni new....lakini ukitaka kitu kama headlamp ni chaguo lako unataka mpya au used.
Karibu sana mkuu.Nitakutafuta mkuu tuongee biashara kwenye filters.
260,000/-mkuu rejeta ya golf mk4 1998 model inauzwaje,
Habari wana JF. Nimefungua duka la spare kwa ajili ya magari ya EUROPE kama VW,AUDI,BMW.M.BENZ,JAGUAR,VOLVO,RENAULT,CITROEN,PEUGEOT,VAUXHALL,OPEL,PORSCHE CAYENNE,L.ROVER RR DISCO 2/3/4 na ALFA ROMEO. Service parts zote ninazo na vifaa vingine vidogo dogo.
Pia naweza kukuagizia spare yoyote kama utahitaji na mimi sina,ndani ya siku 7 inakuwa ishafika. Spare zote naagiza kutoka UK/GERMANY.Pia kuna spare za TOYOTA za UEROPE kama LEXUS IS/GS/RX,RAV4 VANGUARD,AVENSIS,YARIS,COROLLA VERSO. Kuna spare za NISSAN NAVARRA na PATHFINDER.
Pia ninazo DRIVE BELTS na HEAD LAMP BULBS za magari yote ya Europe na japanese za kisasa bila kusahau SPARK PLUGS ORIGINAL kama BOSCH,DENSO,CHAMPION made in Germany.
Pia bila kusahau naleta USED ENGINE,GEARBOX za magari yote ya Ulaya kama BMW,VW,AUDI,MERC BENZ,VOLVO,JAGUAR,L ROVER,LEXUS etc. Hizi naleta kwa order maalum ambazo huwa zinafika hapa ndani ya wiki moja tu.
Duka linaitwa OEM PARTS LTD lipo Kinondoni,nyuma ya soko la ma-TX karibu na kanisa katoliki,wote mnakaribishwa. Pia naweza kukuagizia gari/malori kutoka UK ambako kuna business partner wangu maalum kwa kazi hio. simu zangu ni 0686560365/0712183826. MY WHATTSAPP NUMBER IS 0712183826
Ukipenda kuniagiza spare ya gari tafadhali nipe make,model,year,engine size,manual/auto transmission au kuepuka mlolongo huo nipe VIN/chasis number
NIMEONGEZA HUDUMA,NAFANYA AUTO DIAGNOSIS KWA EUROPEAN MAKES NA JAPANESE MAKES AS WELL, NINA MASHINE YA KISASA KABISA....THE BEST IN BUSINESS
Wote mnakaribishwa.
cc: OLESAIDIMU RRONDO MANI CYBERTEQ Chacha Kisiri Kaizer
Nakushauri pia ulete na spea za SUBARU maana tumechoka kukamuliwa pale ilala !!
99% saloons ninayopata ni petrol vehicles. SUV 50/50.Boss nashukuru kwa post yako, swali kangu ni je kwakuwa magari mengi ya uk pamoja na german ni diesel powered, je umejaribu kuliangalia hilo kwa maana mimi nilikuwa na suzuki escudo ya diesel spares ilikuwa ni changamoto.
asante mkuu.Hongera
Poleni nitaangalia subaru nazo.Zizu na nyange wanatuua aisee..