European cars spare parts

European cars spare parts

Kaka,
Una Engine Mounting za BWM 318??
Wauzaje?

BMW 318 kuna:
engine mounts
shock absorber zote nne
complete wishbone
stabilizer link
tie rod end assembly
wishbone bushes
brake pads
service parts zote

karibu sana mkuu.
 
una cylinderhead ya freelander2,2004 complete, manual transmision,4cylinder
 
Mkuu naweza pata shock absorber ya mbele ya 2001 Lexus is 200. Pia nahitaji stabilizer link, tie rod ends za gari hiyo. Naomba unitajie bei zake mkuu
 
service parts kama oil/fuel/air/cabin filters ni new....lakini ukitaka kitu kama headlamp ni chaguo lako unataka mpya au used.
Nitakutafuta mkuu tuongee biashara kwenye filters.
 
Wakuu sijaingia humu muda mrefu sana. Lakini nashukuru kwa support kubwa niliopata kutoka kwenu. duka langu limekua sana, naomba muendelee kuniunga mkono huku mkipata bidhaa za kiwango cha juu kabisa.
 
Karibuni mpate spares za gari kama hii...

BF527960_9993ff.jpg
 
Habari wana JF. Nimefungua duka la spare kwa ajili ya magari ya EUROPE kama VW,AUDI,BMW.M.BENZ,JAGUAR,VOLVO,RENAULT,CITROEN,PEUGEOT,VAUXHALL,OPEL,PORSCHE CAYENNE,L.ROVER RR DISCO 2/3/4 na ALFA ROMEO. Service parts zote ninazo na vifaa vingine vidogo dogo.

Pia naweza kukuagizia spare yoyote kama utahitaji na mimi sina,ndani ya siku 7 inakuwa ishafika. Spare zote naagiza kutoka UK/GERMANY.Pia kuna spare za TOYOTA za UEROPE kama LEXUS IS/GS/RX,RAV4 VANGUARD,AVENSIS,YARIS,COROLLA VERSO. Kuna spare za NISSAN NAVARRA na PATHFINDER.

Pia ninazo DRIVE BELTS na HEAD LAMP BULBS za magari yote ya Europe na japanese za kisasa bila kusahau SPARK PLUGS ORIGINAL kama BOSCH,DENSO,CHAMPION made in Germany.

Pia bila kusahau naleta USED ENGINE,GEARBOX za magari yote ya Ulaya kama BMW,VW,AUDI,MERC BENZ,VOLVO,JAGUAR,L ROVER,LEXUS etc. Hizi naleta kwa order maalum ambazo huwa zinafika hapa ndani ya wiki moja tu.

Duka linaitwa OEM PARTS LTD lipo Kinondoni,nyuma ya soko la ma-TX karibu na kanisa katoliki,wote mnakaribishwa. Pia naweza kukuagizia gari/malori kutoka UK ambako kuna business partner wangu maalum kwa kazi hio. simu zangu ni 0686560365/0712183826. MY WHATTSAPP NUMBER IS 0712183826

Ukipenda kuniagiza spare ya gari tafadhali nipe make,model,year,engine size,manual/auto transmission au kuepuka mlolongo huo nipe VIN/chasis number

NIMEONGEZA HUDUMA,NAFANYA AUTO DIAGNOSIS KWA EUROPEAN MAKES NA JAPANESE MAKES AS WELL, NINA MASHINE YA KISASA KABISA....THE BEST IN BUSINESS

Wote mnakaribishwa.

cc: OLESAIDIMU RRONDO MANI CYBERTEQ Chacha Kisiri Kaizer

Boss nashukuru kwa post yako, swali kangu ni je kwakuwa magari mengi ya uk pamoja na german ni diesel powered, je umejaribu kuliangalia hilo kwa maana mimi nilikuwa na suzuki escudo ya diesel spares ilikuwa ni changamoto.
 
Boss nashukuru kwa post yako, swali kangu ni je kwakuwa magari mengi ya uk pamoja na german ni diesel powered, je umejaribu kuliangalia hilo kwa maana mimi nilikuwa na suzuki escudo ya diesel spares ilikuwa ni changamoto.
99% saloons ninayopata ni petrol vehicles. SUV 50/50.
 
utakuwa na half cut ya toyota yaris/vitz old model,na ni shs.ngapi?
 
Back
Top Bottom