European cars spare parts

European cars spare parts

Spares za VW pia zinapatikana
BF532619_84049a.jpg
Mkuu matatizo makubwa ya toureg VW nini? nataka kununua hiyo kitu mkuu
 
Mkuu matatizo makubwa ya toureg VW nini? nataka kununua hiyo kitu mkuu
Ukinunua iko kwenye hali nzuri haina tatizo. Ni matumizi yako tu. Gari yoyote ikizeeka lazima kuna vitu ubadilishe ndio kinachowakuta wengi wakiagiza magari yaliyotumika kutoka Japan,Uk etc.
 
Kwa mahaitaji ya spares za VW,BMW,MERCEDES BENZ,AUDI,PORSCHE,VOLVO tafadhali wasiliana na mimi kwa namba hizo hapo juu.
 
Audi A4,A5,A6 Q5/Q7
VW Golf,Touran,Touareg,Tiguan,Bora,Jetta
BMW X5,X3, 3 SERIES,5 SERIES
Porsche Cayenne
Mercedes Benz C,E,S Class, M class
Volvo XC90, S40,S60,S80
 
Audi A4,A5,A6 Q5/Q7
VW Golf,Touran,Touareg,Tiguan,Bora,Jetta
BMW X5,X3, 3 SERIES,5 SERIES
Porsche Cayenne
Mercedes Benz C,E,S Class, M class
Volvo XC90, S40,S60,S80

Ukiacha bei, ipi ni gari nzuri kati ya Audi A4 na BMW 3 Series?
 
Bora nimeona uzi huu,nahitaji clutch master cylinder ya Volkswagen Golf Mk5 model 6Q0 721 261 F

upload_2017-11-3_12-4-20.png
 
Uzi upo bado.... spare za LVD convoy na Leyland DAF 45 tani 7.5
 
Back
Top Bottom