Evaluation ya vyeti vya kitaaluma NACTE

Evaluation ya vyeti vya kitaaluma NACTE

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Nina cheti cha grade A Ualimu, pia nina cheti cha elimu maalum cha Patandi na nina cheti cha foundation cha Open University na elimu ya kidato cha 4. NACTE wamenambia nipeleke vyeti vyangu vikafanyiwe evaluation; nataka kuapply elimu ya juu.

Mwenye ujuzi anifahamishe wanafanyaje hao NACTE?
 
Usiogope, fanya hivo na utafanikiwa tu...kuna dogo pia alikuwa na sifa ka zako na sasa yuko UDSM anakula Education mwaka wa pili
 
Gharama zake zikoje wadau,na inachukuwa muda gani hadi kukamilika?
 
Gharama zake ni Tsh 60000,tu ndani ya wiki utapigiwa simu ukachukue,mi niliwapelekea mwaka 2013 june,sidhani ka gharama zimepanda mkuu,kila na heri
 
Gharama zake ni Tsh 60000,tu ndani ya wiki utapigiwa simu ukachukue,mi niliwapelekea mwaka 2013 june,sidhani ka gharama zimepanda mkuu,kila na heri

Kwa certificate na diploma ni 50000 tu na degree ni 100000
 
Gharama zake ni Tsh 60000,tu ndani ya wiki utapigiwa simu ukachukue,mi niliwapelekea mwaka 2013 june,sidhani ka gharama zimepanda mkuu,kila na heri

Ulikuwa na sifa zipi na ukapewa zipi
 
Yaani tanzania inachosha. Sasa evaluation ya vyeti kwa nini wanachaji hela yote hiyo? Aaagh. Poleni bwana
 
kabla ya evaluation ulikuwa na vyeti gani na baada ya evaluation ukawa na sifa zipi

Nilikuwa ngazi ya cheti na baadae nikapata dip ambavyo nilisomea nje ya nchi,hivyo nilipeleka NACTE,ili nipate uthibitisho ka inalingana na viwango vya elimu ya hapa home,ili ht nikitaka kuomba kwenda lev ya degree niwe na uhakika mkuu
 
aminia mkuu
 
Back
Top Bottom