Hii thread bado alive?. Ama kweli mmeamua.
Honest, Kuna kitu fishy hapa kwa jinsi mtiliriko wa comment zilivyo.
Labda niulize swali la msingi. Mkuu
KULIKONI UGHAIB mbona hauko kwenye UK electoral roll since 2005-2006.
Kunanipa wasiwasi na status ya stay yako kwa sababu kama una stable living environment lazima uwe kwenye daftali la wapiga kura otherwise nyumba unayoishi itakuwa ni ya kudandia au umebadilisha jina baada ya 2006 kitu ambacho ni questionable if not possible.
Kama thread itaendelea kuwa live, nasi tutaendelea kutaka kujua kulikoni kwa jinsi unavyohimiza watu kuwasiliana na polisi.
Natumaini utajibu swali langu. Thanks
Labda kabla ya kuniuliza swali hilo ungejiuliza mtu anaingiaje kwenye Electoral Register. Google au uliza wahusika then usipopata jibu nitakuelewesha.
And why 2005-2006 ilhali huu ni mwaka 2013?
I don't have to remind you that in order to effectively search for info, you first have to know what you actually are looking for.
Hii thread bado alive?. Ama kweli mmeamua.
Honest, Kuna kitu fishy hapa kwa jinsi mtiliriko wa comment zilivyo.
Labda niulize swali la msingi. Mkuu
KULIKONI UGHAIB mbona hauko kwenye UK electoral roll since 2005-2006.
Kunanipa wasiwasi na status ya stay yako kwa sababu kama una stable living environment lazima uwe kwenye daftali la wapiga kura otherwise nyumba unayoishi itakuwa ni ya kudandia au umebadilisha jina baada ya 2006 kitu ambacho ni questionable if not possible.
Kama thread itaendelea kuwa live, nasi tutaendelea kutaka kujua kulikoni kwa jinsi unavyohimiza watu kuwasiliana na polisi.
Natumaini utajibu swali langu. Thanks
Who sees the register?
There are two versions. Both are updated monthly.
Full register
The full register lists everybody who is entitled to vote. Anyone can look at it, but copies can only be supplied for certain purposes such as elections and law enforcement.
General viewing
Credit reference agencies can use the register but only to check your name and address if you are applying for credit and to help stop money laundering.
It is a criminal offence for people who receive the full register to pass it on or to use it for any purpose other than that allowed by law.
You can inspect the full register at the electoral office and at three local libraries. It is organised by address and polling district, not by name like a telephone directory, so IF SOMEBODY DOESN'T KNOW WHERE YOU LIVE THEY WILL FIND IT HARD TO FIND YOUR ENTRY IN THE REGISTER.
Staff at the electoral office and in the libraries will not disclose the names or addresses of electors. It is not available to view on our website.
Edited register
This is available for sale to anyone who wants it. When you register to vote, you will be given the option to be included in this version or not.
Hii thread bado alive?. Ama kweli mmeamua.
Honest, Kuna kitu fishy hapa kwa jinsi mtiliriko wa comment zilivyo.
Labda niulize swali la msingi. Mkuu
KULIKONI UGHAIB mbona hauko kwenye UK electoral roll since 2005-2006.
Kunanipa wasiwasi na status ya stay yako kwa sababu kama una stable living environment lazima uwe kwenye daftali la wapiga kura otherwise nyumba unayoishi itakuwa ni ya kudandia au umebadilisha jina baada ya 2006 kitu ambacho ni questionable if not possible.
Kama thread itaendelea kuwa live, nasi tutaendelea kutaka kujua kulikoni kwa jinsi unavyohimiza watu kuwasiliana na polisi.
Natumaini utajibu swali langu. Thanks
The opt-out
When registering, please indicate if you do not want your details included in the version of the register that is for sale - the edited register. Opting out of this does not affect your voting rights or credit status.
The full register is available for inspection at the electoral office and at some local libraries, but it can only be copied by hand.
Hii thread bado alive?. Ama kweli mmeamua.
Honest, Kuna kitu fishy hapa kwa jinsi mtiliriko wa comment zilivyo.
Labda niulize swali la msingi. Mkuu
KULIKONI UGHAIB mbona hauko kwenye UK electoral roll since 2005-2006.
Kunanipa wasiwasi na status ya stay yako kwa sababu kama una stable living environment lazima uwe kwenye daftali la wapiga kura otherwise nyumba unayoishi itakuwa ni ya kudandia au umebadilisha jina baada ya 2006 kitu ambacho ni questionable if not possible.
Kama thread itaendelea kuwa live, nasi tutaendelea kutaka kujua kulikoni kwa jinsi unavyohimiza watu kuwasiliana na polisi.
Natumaini utajibu swali langu. Thanks
Sasa kama una wasi wasi na status ya stay yangu,kuchungulia kwenye electoral register kutakusaidia vipi?Ili kupata unachotafuta shurti ujue unachokitafuta.Wasiliana na UKBA wakueleze my residential status.
Ili uwe kwenye electoral register shurti ujiandikishe.Lakini hata ujiandikishe sio kila mtu anaweza kuona details zako kwa vile kuna option ya ku-opt out.
Una uhuru wa kuhisi chochote (na kuendelea na uchunguzi wako) kuhusu jinsi ninavyoishi,iwe naishi kwa kudandia au nina maisha stable.I hope uki-find out ukweli hutosita kuuweka hadharani.
Labda huelewi Kiswahili au unajifanya huelewi.Ni WAPI NIMEMLAZIMISHA MTU KUWASILIANA NA POLISI? Hivi kwa busara zako (if I believe you have any) watu wakiwasiliana na polisi itanisaidiaje? Do I have to write in Greek ili uelewe kuwa badala ya kuendeleza HISIA,anayehitaji FACTS awasiliane na wahusika ambao nimeweka contact details zao ili KURAHISISHA- na si KULAZIMISHA/KUSHAWISHI- awasiliane nao?Kama hutaki kujua ukweli,kwanini uendelee kudadisi?Na ukweli hauwezi kupatikana kutoka kwangu smbaye tangu awali unahisi something fishy about.Do your own homework.If you don't,or do,what I'm supposed to do? Commit suicide?
Mtu ameandika 'uongo' lakini japo kuna njia kadhaa za kuthibitisha 'uongo' huo,wenye kiu ya kujua ukweli wanaendeleza hisia badala ya kujibidiisha kutafuta ukweli.
Ukweli ukipatikana si kwa manufaa yangu bali kuridhisha curiosity zenu.You can either continue to suspect/speculate or seek for the facts by and for yourself.
Hukuwa afisa usalama wa taifa wewe?
Hukwenda kusomea shahada ya uzamili na ukaongeza ya uzamivu huko Uskochi
Hukurudi Tanzania na kurudia kazi yako?
Nini kilikuondoa Bongo kurudi Uskochi.
Unajua faida za kuasi taasisi za ujasusi (intelligence)?
Unajua hasara za kuasi taasisi za ujasusi (intelligence)?
Mpaka uanze kubwabwaja lazima unajua ulipojikwaa;
Acha kuleta uzabizabina wako kwa makosa yako binafsi.
Angalia ulipojikwaa na urekebishe.
Bazazi ni Bazazi!
Kila mwenye akili timamu anafahamu nani anabwabwaja. And you know what, kuwa mtumishi wa umma-iwe ya dola au ya kawaida si ushirikina au dhambi flani.
Nilipokuwa mtumishi wa umma huko nyumbani sehemu kubwa ya utendaji wangu ilifanya watu wengi tu kujua kazi ninayofanya.So kwa kuandika kwako hapa si kama you burned someone's cover.
Sihitaji darasa kuhusu hayo usiyoyaelewa.Lakini sikuzuwii kuyaongelea. Ndo thamani ya uhuru