Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha. ila ni vema ungeniuliza kwanza mkuu kabla ya kutoa kejeli hiyo! nina knowledge kidooogo saaana libahatika kuipata bt si unajua haba si haba! lakini it seems una narcissistic personal disorder pia.
---
---
It takes two to tangle !
Mikwala mbuzi ni kuwajaribu akili watu kwa kuwaambia wapige simu, halafu ukiombwa case number ili watu wawe detailed, unagwaya.
Chahali ni mjinga tu kama wajinga wengine.Chahali alikuwa mwanajamvii wa Usalama wa Taifa
Akaenda kusoma Uskochi
Aliporudi akafikiria ataukwaa Ukurugenzi ukuu
Alipokosa akaamua kurudi kwa mabwana zake wazungu wa Uskochi
Hana Lolote kibaraka wa Wazungu tu.
Sioni kinachomfanya abwate kwamba wanataka kumuua;
Makala zake hazina mashiko hata kidogo
Hazijawahi kuhatarisha usalama wa nchi
Kama yeye akiuawa, @MM Mwanakijiji nadhani atakuwa majivu tayari kwa kuchomwa hai.
DR EVARIST CHAHALI ni wa kupuuza tu, anatafuta umaarufu kwa nguvu.
Bazazi ni Bazazi!
While there is no standard the zeitgeist points to more accountability and openness, which you faked but shied away from.
You failed to be honest when you invited scrutiny on your case but refused to give the case number. You cannot say a thing about being honest.
You do care very much, you took your time to write a lengthy ballyhoo that is neither here nor there to win my sympathy. So don't tell me you don't care much about what I think. Had that been the case you wouldn't write a sentence, much less invite me to glean some more information.
Stop flattering yourself. the very act of writing is a yearning for communication and putting your point across. On the other hand, one would be tempted to say that in claiming to not aim at convincing you are convincing me, no wonder you are all over the place.
You can't be a conversationalist without points. What will you converse about? Mere ramblings? Once you have points, the mere narration of these points is an attempt to make the reader see your point of view.You are already engaged in convincing.
And the doubting Thomases are what make the world go round.
Tatizo si kwamba unasaka ridhaa ama husaki ridhaa (although there is a case to be made kwamba mtu yeyote anayeanzisha blog, hata kama anadai kwa "conversation" anataka ridhaa kwa namna fulani, wasiotaka ridhaa wameuchuna).
Tatizo ni kwamba uko incoherent, inconsistent, unfocused, rambling all over the place. Unaalika watu wa scrutinize kesi yako kama mtu uliye wazi kabisa, watu wakikuomba detail unaaanza longolongo nyiiingi, wewe si unataka watu wa scrutinize kesi yako yote? Mbona hutaki kutoa detail sasa?
Kwa mwerevu, uhuru wa kuandika si sababu ya kuandika. Kuandika kunakuwa protected na uhuru wa kuandika, lakini ukiandika kwa sababu una uhuru wa kuandika then utakuwa na matatizo makubwa kuliko ninavyofikiri. Mimi nina uhuru wa kuvuka barabara iliyo mbele ya nyumba yangu mara mia moja kwa siku. Lakini ukweli kwamba nina uhuru huo hii si sababu ya mimi kuvuka barabara hii back and forth mara mia kwa siku. Ni lazima kuwe na sababu iliyo zaidi ya uhuru huu itakayonisukuma nivuke barabara hii mara mia kwa siku, kama vile ikigunduliwa kwamba nikivuka barabara hii mara mia moja kwa siku nitapata treasure fulani. then hiyo ndiyo itakuwa sababu yangu.
Sasa nimekukuta unavuka barabara mara mia kwa siku, nakuuliza "Kwa nini unavuka barabara hii back and forth mara mia kwa siku" unanijibu kwa sababu nina uhuru wa kuvuka barabara mara mia kwa siku? Utakuwa ama muongo au mjinga, pengine muongo mjinga.
Don't flatter yourself. From your writings you do not posses the requisite intelligence kumkera mtu anayefikiri. Labda guluguja wa kuwinda hapa na pale.
Kati yako unayeanika matatizo yako katika maisha yako binafsi hapa na kwenye magazeti na wana JF wanaokupa scrutiny unayoitaka, ambayo apparently huiwezi nani ana tatizo binafsi?
Hata ungejisumbua uwezo wa kushawishi huna, labda you are giving up on this before even trying because you know you are not up to par.
Hapana, umeshatuambia hutaki kushawishi, huwezi kuwa muumini wa mitizamo inayokinzana bila kutaka kushawishi. Hata hao ma buddhist monks wanaokaribia ku achieve perfect equanimity watataka kushawishi watu kwamba njia yao ndiyo nzuri, wewe Chahali umefikia Nirvana gani hiyo ambayo imekuvua haja ya ushawishi. Blog yako imejaa kutaka ushawishi. Contradictions.
Wewe si muumini wa kukinzana, ushaanza kukuwekea mipaka kukinzana. Wewe unafront kuwa muumini wa kukinzana lakini huwezi kuwa muumini wa kukinzana.
To the contrary.I don't have it. You have not made anything clearer. Mpaka sasa naona a bundle of ballyhooing tu.
If that was the case you wouldn't write the story to begin with. Why bother?
Wewe huna point uliyoandikia, hujataka kushawishi mtu, umeandika some ramblings tu kwa sababu una uhuru wa kuandika, utaelewekaje na yeyote?
Mkuu hiyo signature duh!!!! By the way inawezekana katishiwa lakini kama alivyoamua kuliweka wazi angeweka wazi kila kitu ili jumuiya nzima ijue hata akidhurika basi tuwe na pakusemea.
Mimi ndie nilianzisha uzi huu kwa kuwa nasoma san makala zako na kwa ukweli mimi zinanivutia.
Naamini umejieleza vizuri katika kila sehemu uliyoamua kuijibu ila naomba utueleze haya,
Otherwise kila la heri na nitaendelea kusoma makala zako ndani ya Raia Mwema.
- Wewe kweli ni jasusi?Naamini tunao kina Marando ambao wanjaulikana fika hivyo naamini litakuwa swali rahisi kwako.
- Huko Uskochi unafanya kazi,unasoma au una shughuli gani?
- Una mategemeo ya kurudi lini home?
Nashukuru kwa majibu yako na si vizuri nikaendelea kuhoji zaidi otherwise the cat can get out of the bag!!!!Mkuu, if I answer those questions I will first have to kill you...just joking.Kama jasusi kwa maana ya spy in the most correct sense of the term,I'm not.Ninachofanya hapa ningependelea kiendelee kuwa suala langu binafsi.East West home is the best.Nilizaliwa Mtanzania nitakufa nikiwa Mtanzania hata kama sintokuwa na uraia wa nchi yangu (by the way as a global citizen siamini sana katika uraia wa kisheria bali wa kuzaliwa).So to answer your last question,yes, nitarudi nyumbani when the time is right.
Asante kwa salamu zako za heri na karibu kuendelea kusoma makala zangu huko Raia Mwema. Mie si mwandishi,however.I'm simply a conversationalist,namaandishi yangu ni maongezi tu na hadhira yangu kwa kutumia herufi badala ya spoken word.
Awe kama Jason Bourne hawatamuweza maadam amesema anaweza kazi pia
Wapi nimemwomba mtu apige simu? Niliweka mawasiliano hayo na wahusika kwa kutambua kuwa kuna watakaotafsiri kivyao kuhusu ishu hii,na mawasiliano hayo yalilenga kuwarahisishia kukidhi kiu zao. Sijamjaribu mtu akili kwani haitonisaidia lolote.Anayehisi amejaribiwa akili basi ana matatizo yake binafsi,andI'm not responsible for that.
Kwa atakayehitaji ufafanuzi zaidi, anaweza kuomba taarifa zaidi kwa ku-cite 'Freedom of Information Act' kwa kituo cha polis cha Maryhill hapa Glasgow, UK. Namba yao ya simu ni +44-[FONT=MuseoSans_300]141-532-2000 na barua-pepe ni [/FONT]MaryhillandKelvinCommunityPoli cingTeam@strathclyde.pnn.polic e.uk
Wapi nimeandika umemuomba mtu apige simu.
Nimeandika kwamba umewaabia wapige simu, kwa taarifa zaidi. Kwa maneno yako mwenyewe haya hapa.
Whatever you do, do it well. Or don't do it at all.
Umejitahidi ku project uwazi hapa, lakini umefail hata kabla mtu hajaanza kukuchunguza.
Unaji contradict kwa vitu basic tu.
Unawapa msemo wanaosema huna zaidi ya kutafuta publicity tu.
Au unataka ku split hairs hapa kwamba hujatoa contacts ili wanaotaka kuhakiki na kupata taarifa zaidi waweze?
Sasa kama umeweza kuwapa watu namba wahakiki huko kwenye vyombo vya usalama kwa nini usiwasaidie zaidi kwa kuwapa hiyo case number wanayoitaka?
Ama kweli wewe bazazi, couldn't agree more with you.
Hii thread bado alive?. Ama kweli mmeamua.
Honest, Kuna kitu fishy hapa kwa jinsi mtiliriko wa comment zilivyo.
Labda niulize swali la msingi. Mkuu KULIKONI UGHAIB mbona hauko kwenye UK electoral roll since 2005-2006.
Kunanipa wasiwasi na status ya stay yako kwa sababu kama una stable living environment lazima uwe kwenye daftali la wapiga kura otherwise nyumba unayoishi itakuwa ni ya kudandia au umebadilisha jina baada ya 2006 kitu ambacho ni questionable if not possible.
Kama thread itaendelea kuwa live, nasi tutaendelea kutaka kujua kulikoni kwa jinsi unavyohimiza watu kuwasiliana na polisi.
Natumaini utajibu swali langu. Thanks

Hukuwa afisa usalama wa taifa wewe?
Hukwenda kusomea shahada ya uzamili na ukaongeza ya uzamivu huko Uskochi
Hukurudi Tanzania na kurudia kazi yako?
Nini kilikuondoa Bongo kurudi Uskochi.Unajua faida za kuasi taasisi za ujasusi (intelligence)?
Unajua hasara za kuasi taasisi za ujasusi (intelligence)?
Mpaka uanze kubwabwaja lazima unajua ulipojikwaa;
Acha kuleta uzabizabina wako kwa makosa yako binafsi.
Angalia ulipojikwaa na urekebishe.

Eventually,wenye busara wameshauri kuwa ushiriki wangu katika mada hii hautokuwa na tija yoyote kwangu: majadiliano na watu wanaotumia kinga ya fake IDs yana tabia ya kumpa mtu jeuri kusema lolote lile, akiamini kuwa hafahamiki/hatofahamika.
Kwahiyo,I'm over with and out of this topic.Ikitafsiriwa kuwa nimekimbia,so be it.