Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Nianze kwa kupongeza TLS kwa kutuandalia hili kongamano ambalo binafsi limenifungua mambo mengi kuhusiana na sheria ya uchaguzi, na yaliyopo ndani ya Katiba kwa ujumla. Suala wa wasimamizi lilikuwa shida sana pale awali kwa sababu kila kitu kwenye uchaguzi ni serikali inasimama.
Lakini kwenye kikosi kazi kilichopita mijadala iliyokuwepo ambayo binafsi niliichukulia na kuibeba lilikuwa ni hili suala la wasimamizi ambalo lilifanyiwa marekebisho kwamba serikali itatangaza nafasi.
Wananchi wenye sifa tajwa wataomba nafasi, watafanyiwa usaili watakaopita watakuwa ndiyo wasimamizi na wasimamizi wasaidizi.
Lakini sisi kama raia na viongozi wa vyama vya kisiasa nitoe rai suala la amani ni sisi na wananchi, sisi na wapiga kura wetu tulinde amani na jamii yetu kwa ujumla," Evaline Munisi, Katibu Mkuu NCCR Mageuzi.