Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

Dr Restart

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
4,949
Reaction score
24,046
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena.

Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa.
69415153-11932607-image-a-3_1680511272941.jpg

Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji wa Video za Kikubwa. Ameweka wazi kuwa ana vitumbua viwili ambavyo moja ni kwa ajili ya ndoa na nyingine kwa ajili ya kazi.
69415165-11932607-image-a-2_1680511255888.jpg

Mlimbwende huyo huingiza zaidi ya Million ishirini na tano za kitanzania kama malipo ya kupata access kwenye tovuti yake.

Mwanamke huyo pamoja na kuwa na sehemu hizo mbili, pia ana mafungu mawili mawili ya mayai ya kike pamoja na mifuko ya uzazi miwili.

Mwanamke huyo alikuwa akifanya kazi na baadae kuacha na kutumia fursa hiyo ipasavyo.

Mumewe naye ameridhia, kwa vile tu sehemu yake haiguswi basi aendelee na kazi yake ya kumuingizia kipato kwa Shimo lingine.
69415137-11932607-image-a-6_1680511303565.jpg
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena.

Mwanamama Evelyn Killer mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa.View attachment 2576312

Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji wa Video za Kikubwa. Ameweka wazi kuwa ana vitumbua viwili ambavyo moja ni kwa ajili ya ndoa na nyingine kwa ajili ya kazi.
View attachment 2576310

View attachment 2576311
Haya mambo muachie mwenyewe DeepPond
 
Unaturudisha Misri mkuu..kwanini?
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena.

Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa.View attachment 2576312

Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji wa Video za Kikubwa. Ameweka wazi kuwa ana vitumbua viwili ambavyo moja ni kwa ajili ya ndoa na nyingine kwa ajili ya kazi.
View attachment 2576310

Mlimbwende huyo huingiza zaidi ya Million ishirini na tano za kitanzania kama malipo ya kupata access kwenye tovuti yake.

Mwanamke huyo pamoja na kuwa na sehemu hizo mbili, pia ana mafungu mawili mawili ya mayai ya kike pamoja na mifuko ya uzazi miwili.

Mwanamke huyo alikuwa akifanya kazi na baadae kuacha na kutumia fursa hiyo ipasavyo.

Mumewe naye ameridhia, kwa vile tu sehemu yake haiguswi basi aendelee na kazi yake ya kumuingizia kipato kwa Shimo lingine.
View attachment 2576311
Nikajua Evelyn Salt kafunguka, nmekuja speed kdg nijikwae
 
Back
Top Bottom