cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee em sema kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora tumezeeka sasa [emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee em sema kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora tumezeeka sasa [emoji847]
Miaka 78 niliyonayo mchezo 🤗Wee em sema kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutuu!!Miaka 78 niliyonayo mchezo [emoji847]
Ni kweli nimekula chumvi nyingi ujue 🤗Thubutuu!!
Hapanaaa!Ni kweli nimekula chumvi nyingi ujue [emoji847]
Usinambie unataka kunipima umri kwenye lile pambano😜Hapanaaa!
Ungekuwepo enzi za party za wana JF na enzi za Leo tuko hapa ungekuwa unamfahamu mrembo huyu mkaazi wa Kimara zamani, na sasa yuko KigamboniEvelyn Salt
You comment like a dude.
You post masculine.
Unabishana kibabe
Simaanishi kwamba wanawake ni weak ila kwa macho yetu ya kiJF unatiki kila box za kuwa boyish
Are u a dude, stud or just a tough lady
😂😂 Ila Pia haituhusu mambo private ya watu
Wee em apia! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usinambie unataka kunipima umri kwenye lile pambano[emoji12]
Umri huu sitaweza hata kupiga shuti moja [emoji12]