Mtumie hela atarudi kuweka muendelezo ππJamani mtunzi it's taking too long time
Hatupi bure bhana, tunalipia bando ili kusoma, sema tu anazingua na ki story chake cha kuokoteleza hukoMtunzi anazingua, hapo ndipo utajua mtu akiwa fisiemu anakuwa mtu wa aina gani, lakini all in all anatupa story bure so tuvumilie tu
πUnawezakuta nae anavizia sehem dhen analeta huku.tumvumilie tuu.yupo timing[emoji16]
πAnasubiri huko anapoipakuwa iwekwe then aipaste hapa kwaajili yetu.
Nishakwambia rudi kambini story imeishaHatupi bure bhana, tunalipia bando ili kusoma, sema tu anazingua na ki story chake cha kuokoteleza huko
π€£π€£khaaaaaa au na huyu mwamba katekwa kikwelii
Sipangiwi bwashee πNishakwambia rudi kambini story imeisha