Mbona unatetea sana wewe una nini na mweka stori?? Au ID moja tukuripoti? Ama ndo yule mchuchu wake haiwezekani ulisemalo ndo litendeke!πNishakwambia rudi kambini story imeisha
Atakuwa ni mchepuko wa kenzy huyu boyaMbona unatetea sana wewe una nini na mweka stori?? Au ID moja tukuripoti? Ama ndo yule mchuchu wake haiwezekani ulisemalo ndo litendeke!π
Tushawashitukia hawa wasitupande kichwaniπAtakuwa ni mchepuko wa kenzy huyu boya
Wanaleta vi story vya kuokoteleza halafu vinawaponyoka pimbi hawa πTushawashitukia hawa wasitupande kichwaniπ
π€£ooooSipangiwi bwashee π
Jamaa wa hii stori ni mkorofiKwaiyo ndio story imeshindikana kuendelea?
Hivi karibuni tena[emoji848]Nitawajia hivi karibuni kaeni mkao wa kula sasa acheni fujo..[emoji23]
We jamaa ukipita mtaani kwangu nakushikisha mbwa aiseeNitawajia hivi karibuni kaeni mkao wa kula sasa acheni fujo..π
πππHivi karibuni tena[emoji848]
Duh
Nadhani nitakuwa nimesahau hata ilikuwa inahusu nini[emoji1787]
Nishasahau hata stories yenyeweNitawajia hivi karibuni kaeni mkao wa kula sasa acheni fujo..π