Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Nyie yenu ingewatosha mngekua mnakopa kila uchwao? Nadhan mngekua mnakopesha jibu unalo.What is Tanzania's projected growth amidst this pandemic? Nchi mingi zinaeka wazi expected economic performance., nipe ya LDC kaka., nyie mnaeza poromoka kwasababu uchumi wenyu hauna mizizi dhabiti., revenue in relation na mahitaji yenyu wakati wakawaida imekua haitoshi, sasa leo hii mtakua vipi?
Wacha kuchekesha wewe, ni nchi gani ambayo uchumi wake upo na mizizi mirefu katika ukanda huu, uchumi wa Tanzania umebebwa na:What is Tanzania's projected growth amidst this pandemic? Nchi mingi zinaeka wazi expected economic performance., nipe ya LDC kaka., nyie mnaeza poromoka kwasababu uchumi wenyu hauna mizizi dhabiti., revenue in relation na mahitaji yenyu wakati wakawaida imekua haitoshi, sasa leo hii mtakua vipi?
Kenya is a complete failure, yaani pamoja na billions za IMF na zile za World Bank bado hali ni mbaya?What is Tanzania's projected growth amidst this pandemic? Nchi mingi zinaeka wazi expected economic performance., nipe ya LDC kaka., nyie mnaeza poromoka kwasababu uchumi wenyu hauna mizizi dhabiti., revenue in relation na mahitaji yenyu wakati wakawaida imekua haitoshi, sasa leo hii mtakua vipi?
Kenya is a complete failure, yaani pamoja na billions za IMF na zile za World Bank bado hali ni mbaya?
Hebu tueleze hizo pesa zimekwenda wapi in such a short period of time?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kuchekesha wewe, ni nchi gani ambayo uchumi wake upo na mizizi mirefu katika ukanda huu, uchumi wa Tanzania umebebwa na:
1) Kilimo, Uvuvi na Ufugaji: Tanzania ndiyo nchi pekee yenye ardhi kubwa na yenye rutuba kwa ajili ya kilimo, Tanzania ndiyo nchi yenye ukanda mkubwa wa bahari ya Hindi, na Maziwa matatu makubwa kwa ajili ya Uvuvi, Tanzania ndiyo nchi yenye mifugo mingi nyuma ya Ethiopia.
2) Utalii, katika hili sina sababu ya kuelezea uimara wa utalii wa Tanzania
3) Madini, hapa sihitaji kusema lolote, nadhani unajua kuhusu wingi wa madini Tanzania.
4)Natural gas; Unafahamu wingi wa gesi iliyopo Tanzania.
5) Uzalishaji wa viwandani: Ninadhani unaona ni kiasi gani bidhaa za viwandani za Tanzania zinavyosambaa katika nchi Jirani, kuanzia bidhaa za Azam, Mo, na bidhaa zingine.
6) Usafirishaji; Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi, na Zimbabwe, hutegemea sector ya Usafirisha wa Tanzania kwa zaidi ya 8O% ya bidhaa zao.
Tafadhali taja uchumi wa Kenya umeshikiliwa na "Sectors"zipi ambazo ni strong zaidi ya " Remittances?"
Enyewe wewe ni punguani kabisaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], if your economy was well diverse and wide mngekua na GDP ya maana, lakini GDP ya nchi nzima ni size ya Nairobi vipi wewe?., quantify your annual revenue ya each sector?.,Wacha kuchekesha wewe, ni nchi gani ambayo uchumi wake upo na mizizi mirefu katika ukanda huu, uchumi wa Tanzania umebebwa na:
1) Kilimo, Uvuvi na Ufugaji: Tanzania ndiyo nchi pekee yenye ardhi kubwa na yenye rutuba kwa ajili ya kilimo, Tanzania ndiyo nchi yenye ukanda mkubwa wa bahari ya Hindi, na Maziwa matatu makubwa kwa ajili ya Uvuvi, Tanzania ndiyo nchi yenye mifugo mingi nyuma ya Ethiopia.
2) Utalii, katika hili sina sababu ya kuelezea uimara wa utalii wa Tanzania
3) Madini, hapa sihitaji kusema lolote, nadhani unajua kuhusu wingi wa madini Tanzania.
4)Natural gas; Unafahamu wingi wa gesi iliyopo Tanzania.
5) Uzalishaji wa viwandani: Ninadhani unaona ni kiasi gani bidhaa za viwandani za Tanzania zinavyosambaa katika nchi Jirani, kuanzia bidhaa za Azam, Mo, na bidhaa zingine.
6) Usafirishaji; Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi, na Zimbabwe, hutegemea sector ya Usafirisha wa Tanzania kwa zaidi ya 8O% ya bidhaa zao.
Tafadhali taja uchumi wa Kenya umeshikiliwa na "Sectors"zipi ambazo ni strong zaidi ya " Remittances?"
Mbona kama unateseka babu!!! Ukweli si huo hapo kwenye uzi...Unajitahidi kutoka nje ya mada ili kuukwepa😅And with this covid19 what is the returns? How is tourism?, do you read first to understand ama you jump in like a baboon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], your economy ni kidogo sana in proportion.., with covid19 hamna lenyu.,
Naona umechanganyikiwa. Umeambiwa ulete mizizi ya uchumi wa kenya.Enyewe wewe ni punguani kabisaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], if your economy was well diverse and wide mngekua na GDP ya maana, lakini GDP ya nchi nzima ni size ya Nairobi vipi wewe?., quantify your annual revenue ya each sector?.,
Rudi shule., sasa hivi almost all sectors globaly are relatively affected by covid19 pandemic.,
Hawezi kukujibu ila according to CBK governor's speech early this week, alilalama jinsi kupungua kwa remittance zitakavyoleta msukomsuko wa uchumi! Kwa hiyo mzizi wa uchumi wa Kenya umejikita kwenye Remittance!Naona umechanganyikiwa. Umeambiwa ulete mizizi ya uchumi wa kenya.
Kwamba uchumi unategemea wasugua vyoo ulaya na watunza wazee wa kizungu [emoji23]Hawezi kukujibu ila according to CBK governor's speech early this week, alilalama jinsi kupungua kwa remittance zitakavyoleta msukomsuko wa uchumi! Kwa hiyo mzizi wa uchumi wa Kenya umejikita kwenye Remittance!
Nchi yenye uchumi wenye mizizi haiwezi kutikisika haraka na jitahidi kiasi hiki, umeshasikia nchi yoyote yenye uchumi imara imekimbilia kuchukua Mkopo wa kupambana na Corona?, nchi zenye uchumi imara zimetumia pesa ya ndani kupambana na kuyumba kwa uchumi.Enyewe wewe ni punguani kabisaaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], if your economy was well diverse and wide mngekua na GDP ya maana, lakini GDP ya nchi nzima ni size ya Nairobi vipi wewe?., quantify your annual revenue ya each sector?.,
Rudi shule., sasa hivi almost all sectors globaly are relatively affected by covid19 pandemic.,
Ninyi mtaendelea kubaki katika kundi la failed state milele, nchi gani ambayo hata chakula inategemea "donations"?Facts zina uma mitanzania., with covid19 now mtatoka ldc 2050 sio 2025 kama ilivyo tarajiwa, mnajipumbaza tu, masikini hawezi kuonewa wivu, ni kuhurumiwa ama kudharauliwa, any of the two or both[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1463292
Unadharau kazi na huenda hunaKwamba uchumi unategemea wasugua vyoo ulaya na watunza wazee wa kizungu [emoji23]