Hawa jamaa bhana, Kenya ina ukubwa wa 580.4 Square km na population about 50M. Aidha, TZ ina ukubwa wa 947.3 square km na population ya takribani 56M.
Sasa how come nchi kubwa lote hilo unaita a tiny country compared to Tanzania wakati Kenya ni 61.3% the size of Tanzania huku mkizaliana kama bata na kuwa na idadi ya watu ambayo ni 89% ya population ya Tanzania?!
Kenya sio tiny country! Mnaona ni tiny country kwa sababu mafisadi akina Kenyatta wamejimilikisha maeneo makubwa ya nchi yenu huku nyie vimaskini mkiishi kama Watwana kwenye nchi yenu wenyewe!!
Sababu nyingine mnaona ni tiny country ni kwa sababu mnaziliana kama bata matokeo yake mnatusumbua Watanzania kuyalisha matumbo yenu kwa sababu mnaendekeza uchi na kuzaliana hovyo hovyo wakati ardhi ya kulima hamna yote inamilikiwa na akina Kenyatta!!