Msitu gani daddy? mimi nishatembea tz, mna ardhi kubwa na watu ni wengi, lakini bado mna umaskini, hii ni kwa sababu ya uvivu na roho chafu. wa tz mna roho chafu sana huku mnajidai eti nyie ni wakarimu, hampendi wageni kwenu na hii imewadhulumu sana kiuchumi.
Jambo la pili ni ule upuzi wa ujamaa eti tusaidiane kiundugu, hili liliwarudisha nyuma sana, watu kukaa tu na kusubiri msaada kutoka kwa kaka blaza.
wakenya sisi huamka mida ya saa kumi alfajiri wakati huo nyinyi wa tz ndio huwa mwaenda kulala baada ya kunywa kahawa tungu usiku kucha mkipiga stories za kaka sungura, halafu mnataka kushindana nasisi kiuchumi ,
hamuwezi aiseee