Everton already in Tanzania

Jhaxan

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
403
Reaction score
191
Another Kiki imeshuka kwa bongoland "THE LAND OF THE KILIMANJARO, SERENGETI AND ZANZIBAR" baada ya klabu kutoka nchini Uingereza kutia timu Dar es Salaam katika tour yao ya kujiandaa na ligi chini ya udhamini bashasha kabisa wa sportpesa..... Ni fursa nyingine kabisa ya kuitangaza THE heart of Africa to the world kupitia vivutio nambari moja barani Afrika tulivyo navyo hivyo basi WaTz tujitokeze kwa wingi National stadium "TUWAKOMESHE HAO WANAOPENDA CHOKOCHOKO i.e KE"
 
Picha please!!!!!!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Mapicha mapicha tupeni za wale waliotembelea Manyara
 
sasa kama makao makuu ya sportpesa yapo Kenya kwanini Everton waje Tz??

hapo utajua ipi ni nchi ya hovyo hovyo
So kila kitu siasa mkuu mda mwingine muuache kutapika ovyo

Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 540170Hapo wyne Rooney akiteta jambo na Waziri wa michezo profesa Harrison mwakyembe in Dar es Salaam

Sent from my SM-N920P using JamiiForums mobile app
Hapo sasa umekutana na mzungu!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 
Hao Everton wanacheza na timu toka wapi? akili kichwani
 
hili nalo linaweza kuwanyima usingizi bAfiCha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…