Jhaxan
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 403
- 191
Another Kiki imeshuka kwa bongoland "THE LAND OF THE KILIMANJARO, SERENGETI AND ZANZIBAR" baada ya klabu kutoka nchini Uingereza kutia timu Dar es Salaam katika tour yao ya kujiandaa na ligi chini ya udhamini bashasha kabisa wa sportpesa..... Ni fursa nyingine kabisa ya kuitangaza THE heart of Africa to the world kupitia vivutio nambari moja barani Afrika tulivyo navyo hivyo basi WaTz tujitokeze kwa wingi National stadium "TUWAKOMESHE HAO WANAOPENDA CHOKOCHOKO i.e KE"