Inaelekea unaipenda ligi ya EPL lakin umekosea Kusema bundesliga hawatumii nguvu...akina Bayern munchen borrusia Dortmund.....Wolfsburg...homfein...etc.....hapo hamna timu ya uingereza itafua dafu mbele ya hao hapo juu.....huko mpira wa nguvu na kasi ....na ndo ukweri upo hivo dunia nzima wanajua ...uje useme wewe kua england Ndo mpira wa nguvu... Labda useme ushindani sabab mkubwa napigwa na mdogo ......Bundesliga hawatumii nguvu nyingi Kama EPL mkuu, samatta anafit vizuri laliga na bundesliga kuliko EPL
Nasikia kule England ukiwa unatoka katka nchi ambayo viwango vya ubora vya FIFA ni vya mwisho mfano tz basi huwezi sajiliwa Kule sasa hii wadau imekaaje Kama hii habari ni ya Kweli?
VP kuhusu Victor wanyama!
Majibu na Mfano iko humu. Ingawa hy kanuni ilimnyima nafasi Mac Donald Maliga kipindi anatoka Sweden kutaka kwenda Man City ,Ikapidi aende Series AYeye kaisha chezea club toka Ulaya kwake itakuwa rahisi mno.
Bundesliga hawatumii nguvu nyingi Kama EPL mkuu, samatta anafit vizuri laliga na bundesliga kuliko EPL
24Anamiaka mingapi mkuu?
He is no longer a kinda
zanan aanasaivi unachukuliwa wanyama mfano mahrez n.k mussa Leicester mpaka alivyohamaNasikia kule England ukiwa unatoka katka nchi ambayo viwango vya ubora vya FIFA ni vya mwisho mfano tz basi huwezi sajiliwa Kule sasa hii wadau imekaaje Kama hii habari ni ya Kweli?