Everton, West Ham na Burnley zamgombania Mbwana Samatta

Everton, West Ham na Burnley zamgombania Mbwana Samatta

Bundesliga hawatumii nguvu nyingi Kama EPL mkuu, samatta anafit vizuri laliga na bundesliga kuliko EPL
Inaelekea unaipenda ligi ya EPL lakin umekosea Kusema bundesliga hawatumii nguvu...akina Bayern munchen borrusia Dortmund.....Wolfsburg...homfein...etc.....hapo hamna timu ya uingereza itafua dafu mbele ya hao hapo juu.....huko mpira wa nguvu na kasi ....na ndo ukweri upo hivo dunia nzima wanajua ...uje useme wewe kua england Ndo mpira wa nguvu... Labda useme ushindani sabab mkubwa napigwa na mdogo ......
 
Nasikia kule England ukiwa unatoka katka nchi ambayo viwango vya ubora vya FIFA ni vya mwisho mfano tz basi huwezi sajiliwa Kule sasa hii wadau imekaaje Kama hii habari ni ya Kweli?
VP kuhusu Victor wanyama!
Yeye kaisha chezea club toka Ulaya kwake itakuwa rahisi mno.
Majibu na Mfano iko humu. Ingawa hy kanuni ilimnyima nafasi Mac Donald Maliga kipindi anatoka Sweden kutaka kwenda Man City ,Ikapidi aende Series A

Ni kanuni inayotaka mchezaji ili acheze EPL ,basi atoke ktk nchi iliyokua juu ya nafasi 70 ( km sijakosea)
 
Bora aende england kama alikuwa na ndoto hyo itakuwa imetimia
 
Alaa hivi jf tumeanza kuwa wajinga eti. Mtu anaandika habari bila source ya taarifa yake ,halafu watu wanachangia
 
Kwa mfuatiliaji wa soka tetesi ni kitu cha kawaida sana though sometime ni dalili wa mwanzo mzur, kuhusu kugombaniwa mm siamin ila inawezekana club za uingereza zimeanza kumscout
 
Sijaona Gazeti kubwa England lililo ripoti hii habari
 
Nasikia kule England ukiwa unatoka katka nchi ambayo viwango vya ubora vya FIFA ni vya mwisho mfano tz basi huwezi sajiliwa Kule sasa hii wadau imekaaje Kama hii habari ni ya Kweli?
zanan aanasaivi unachukuliwa wanyama mfano mahrez n.k mussa Leicester mpaka alivyohama
 
Back
Top Bottom