Hivi pamoja na post zote nilizotuma humu JF bado mpaka sasa kuna watu wanaamini kwamba HIV/AIDS ni real/halisi?Bado tuko nyuma sana kuelewa mambo ya dunia hii yalivyo.Vitu wanavyovijua wengi ni vya kawaida sana.Nataka niwathibitishie kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV/AIDS na HIV ni feki kabisa.Sayansi inapotumika vibaya kuwanufaisha wachache haya ndio matatizo yake.Kwa kuwa HIV/AIDS ni feki ndio maana kuna contradictions nyingi sana zinajitokeza kwenye suala hili.
Mkitaka kuanzia leo muondokane na utumwa huu basi fuatiliena posts zangu au niulizeni maswali yoyote ambayo mnaona yana utata nami nitawajibu na kutoa evidence mnayoitaka.Ukweli utakuweka huru.Mimi siwezi kupata au kufa kwa HIV,nitakufa kwa kitu kingine kwa sababu naelewa ukweli ulivyo.Nina miaka mingi tangu nianze kufanya utafiti huu,hivyo nina uhakika 100% na kile ninachosema.
Hebu anzeni na post zangu kwenye thread zifutazo hapo chini na kama mna maswali niulizeni,nina nia ya kweli kuwaondoa kutoka kwenye utumwa huu na utumwa wa aina yoyote nyingine ambayo bado hamjui kama vile cancer,kisukari nk.
https://www.jamiiforums.com/interna...kuwa-marekani-ndiye-mwanzilishi-wa-ebola.html
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-humpata-na-huonekana-baada-ya-muda-gani.html
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-na-itumike-muda-gani-kwa-mtu-aliyebakwa.html