Every 15 Secs, a child in Africa is born with HIV

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,290
Reaction score
2,468
Really? How did they come into this conclusion? Hili tangazo bila shaka huwa mnaliona kwenye TV zetu.
 
Nakubaliana kwa huo utafiti hii nimeprouve eneo ninaloishi, robo ya wanakijiji wanahudhulia clinic kuchukua dawa na wanawatoto.
Ngoja kwanza nitakuja kueleza kwa kina kuhusu hili jambo.

Tatizo sio Ukimwi tatizo ni Sisi
 
tunasubiri. ila kwani lazima hao wanaokunywa dawa wazae watoto walioayhirika?
 
Ki ukweli watu hawaogopi AIDS sijui kwa nini.....
If you are a man then try to seduce a woman na u suggest kusema unatumia kinga...katika 10 women unakuta 7 wako tayari kufanya bila kinga na ukikuta anayetaka kufanya na kinga hataki ujauzito....
Sasa kwa trend hiyo UKIMWI hautokwisha kwan umekaa sehemu Pendwa kama tabloids za Erick Shigongo
 
Kati ya wagonjwa milion 35,,milioni 27 wapo kusini mwa jangwa la sahara.
 
nadhani hizi takwimu zinatuweka pabaya sana katika sura ya kimataifa. pia naamini kuwa kwa sasa kasi ya maambukizi si kama miaka kumi iliyopita
 
Kwanza tukubaliane hakuna Ugonjwa unaoitwa Ukimwi.
 
hapo mdau unaanza fiction sasa, yaani hamna ngoma.!!

Hapana mkuu Ukimwi si ugonjwa, ni virusi vinavyosababisha mkusanyiko wa magonjwa mbali mbali. Ndio maana mtu amekufa kwa mkanda wa jeshi au TB tunasema amekufa kwa Ukimwi ila alikuwa na Virusi vya Ukimwi.
 
Kwanza tukubaliane hakuna Ugonjwa unaoitwa Ukimwi.
Mpaka hapo uko sawa. Leta takuwimu sasa kuhusu hayo maambukizo ukilinganisha na hizo sekunde 15 za maambukizi kwa watoto wa kiafrika wanaozaliwa
 
Sekunde 15 hapana mkuu,ssa ivi umepungua sana.na watu kwa kiasi fulani wana uelewa tofauti na miaka ya nyuma.
Thabo Mbeki yeye anasema HIV ni umaskin na unachangiwa na siasa mbovu za Africa.
 
sasa ni wake wa marais wa afrika ndio waliopewa jukumu la kuongea hayo. kwa upande wa pili inaleta picha mbaya
 
Nakubaliana kwa huo utafiti hii nimeprouve eneo ninaloishi, robo ya wanakijiji wanahudhulia clinic kuchukua dawa na wanawatoto.
Ngoja kwanza nitakuja kueleza kwa kina kuhusu hili jambo.

Tatizo sio Ukimwi tatizo ni Sisi

Utafiti gani huo? Pili point anayoileta Wallet hapa ni sahihi kwa Takwimu hiyo? Ninaungana na Wallet kuwa si sahihi! Kila sekunde 15 kuzaliwa mtoto mwenye VVU kwa sababu;

1. Si kila mtoto anayezaliwa na mwanamke mjamzito aliyeathirika na VVU anakuwa ana maambukizi.

2. Huwezi kupima maambukizi ya VVU kwa mtoto mchanga confirmation inakuwa anapokuwa na miezi 18.

3.Kuna makosa mengi hufanyika wakati wa ujazaji wa kadi za kliniki kwa wajawazito, na baadhi hujaziwa wameathirika lakini sivyo, hivyo ku-asssume tu hata watoto wao wameathirika.

4. Kila baada ya sekunde 15 inamaanisha, watoto 4 kila dakika, hii humaanisha watoto 240 kila baada ya saa moja au watoto 5760 kila siku na jumla ya watoto 40320 kwa juma/wiki! Hii assumption ni kwamba kila mwafrika ni mwanamke au? Au pengine kila mwafrika mjamzito ni mwathirika wa VVU.
 
Last edited by a moderator:
Really? How did they come into this conclusion? Hili tangazo bila shaka huwa mnaliona kwenye TV zetu.

Hivi pamoja na post zote nilizotuma humu JF bado mpaka sasa kuna watu wanaamini kwamba HIV/AIDS ni real/halisi?Bado tuko nyuma sana kuelewa mambo ya dunia hii yalivyo.Vitu wanavyovijua wengi ni vya kawaida sana.Nataka niwathibitishie kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV/AIDS na HIV ni feki kabisa.Sayansi inapotumika vibaya kuwanufaisha wachache haya ndio matatizo yake.Kwa kuwa HIV/AIDS ni feki ndio maana kuna contradictions nyingi sana zinajitokeza kwenye suala hili.
Mkitaka kuanzia leo muondokane na utumwa huu basi fuatiliena posts zangu au niulizeni maswali yoyote ambayo mnaona yana utata nami nitawajibu na kutoa evidence mnayoitaka.Ukweli utakuweka huru.Mimi siwezi kupata au kufa kwa HIV,nitakufa kwa kitu kingine kwa sababu naelewa ukweli ulivyo.Nina miaka mingi tangu nianze kufanya utafiti huu,hivyo nina uhakika 100% na kile ninachosema.
Hebu anzeni na post zangu kwenye thread zifutazo hapo chini na kama mna maswali niulizeni,nina nia ya kweli kuwaondoa kutoka kwenye utumwa huu na utumwa wa aina yoyote nyingine ambayo bado hamjui kama vile cancer,kisukari nk.

https://www.jamiiforums.com/interna...kuwa-marekani-ndiye-mwanzilishi-wa-ebola.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-humpata-na-huonekana-baada-ya-muda-gani.html

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-na-itumike-muda-gani-kwa-mtu-aliyebakwa.html
 
Nimeshindwa kufuatilia post zako humo. Kiufupi ungekuwa umeweka mada wewe ingekuwa ahueni zaidi kuliko kuanza kupitia post zote moja moja. Nauliza tu, kirusi ni nini?
 
Uko sahihi,nimeona hii ndio njia rahisi kuwaelimisha watu kwa sasa wakati nikiwa mbioni kuandaa mada yangu binafsi.
Swali ulilouliza sidhani kama litakusaidia kitu katika kuujua ukweli kuhusu jambo hili,ni ushauri tu.Unaweza kuuliza kwa namna nyingine.Si vibaya nikikujibu pia kwa sasa;

"A virus is a small/microscopic agent/organism consisting of RNA or DNA as genetic materials, surrounded by protein,glycoprotein or lipid."
 
Back
Top Bottom