Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana kwa huo utafiti hii nimeprouve eneo ninaloishi, robo ya wanakijiji wanahudhulia clinic kuchukua dawa na wanawatoto.
Ngoja kwanza nitakuja kueleza kwa kina kuhusu hili jambo.
Tatizo sio Ukimwi tatizo ni Sisi
nakualiana na wewe mdau, mi matumaini ya kuona mswahili yalishaisha kabisa
hapo mdau unaanza fiction sasa, yaani hamna ngoma.!!
Sekunde 15 hapana mkuu,ssa ivi umepungua sana.na watu kwa kiasi fulani wana uelewa tofauti na miaka ya nyuma.
Thabo Mbeki yeye anasema HIV ni umaskin na unachangiwa na siasa mbovu za Africa.
sasa ni wake wa marais wa afrika ndio waliopewa jukumu la kuongea hayo. kwa upande wa pili inaleta picha mbaya
Nakubaliana kwa huo utafiti hii nimeprouve eneo ninaloishi, robo ya wanakijiji wanahudhulia clinic kuchukua dawa na wanawatoto.
Ngoja kwanza nitakuja kueleza kwa kina kuhusu hili jambo.
Tatizo sio Ukimwi tatizo ni Sisi
Really? How did they come into this conclusion? Hili tangazo bila shaka huwa mnaliona kwenye TV zetu.
Nimeshindwa kufuatilia post zako humo. Kiufupi ungekuwa umeweka mada wewe ingekuwa ahueni zaidi kuliko kuanza kupitia post zote moja moja. Nauliza tu, kirusi ni nini?Hivi pamoja na post zote nilizotuma humu JF bado mpaka sasa kuna watu wanaamini kwamba HIV/AIDS ni real/halisi?Bado tuko nyuma sana kuelewa mambo ya dunia hii yalivyo.Vitu wanavyovijua wengi ni vya kawaida sana.Nataka niwathibitishie kwamba hakuna ugonjwa unaoitwa HIV/AIDS na HIV ni feki kabisa.Sayansi inapotumika vibaya kuwanufaisha wachache haya ndio matatizo yake.Kwa kuwa HIV/AIDS ni feki ndio maana kuna contradictions nyingi sana zinajitokeza kwenye suala hili.
Mkitaka kuanzia leo muondokane na utumwa huu basi fuatiliena posts zangu au niulizeni maswali yoyote ambayo mnaona yana utata nami nitawajibu na kutoa evidence mnayoitaka.Ukweli utakuweka huru.Mimi siwezi kupata au kufa kwa HIV,nitakufa kwa kitu kingine kwa sababu naelewa ukweli ulivyo.Nina miaka mingi tangu nianze kufanya utafiti huu,hivyo nina uhakika 100% na kile ninachosema.
Hebu anzeni na post zangu kwenye thread zifutazo hapo chini na kama mna maswali niulizeni,nina nia ya kweli kuwaondoa kutoka kwenye utumwa huu na utumwa wa aina yoyote nyingine ambayo bado hamjui kama vile cancer,kisukari nk.
https://www.jamiiforums.com/interna...kuwa-marekani-ndiye-mwanzilishi-wa-ebola.html
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-humpata-na-huonekana-baada-ya-muda-gani.html
https://www.jamiiforums.com/jf-doct...-na-itumike-muda-gani-kwa-mtu-aliyebakwa.html
Nimeshindwa kufuatilia post zako humo. Kiufupi ungekuwa umeweka mada wewe ingekuwa ahueni zaidi kuliko kuanza kupitia post zote moja moja. Nauliza tu, kirusi ni nini?