permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
You better do this, I have zero tolerance towards imbeciles.Lack of
Lack of dispute,and this is how nincompoops like you do when they lack content.
Let me just ignore you and save myself from time wastage.
Buddah nimemalizana na wewe pita kushoto tena wacha niku block kabisa.You better do this, I have zero tolerance towards imbeciles.
Sasa hivi Kuna mapigano pia kati ya IDF na Hezbollah niambie idadi ya IDF na wanamgambo wa Hizbullah waliokufa mpaka sasa na hapo sio full scale war ni rasha rasha tu sikuambii wakiamua kuingia mazima Lebanon.Unajua nani alienda kuomba ceasefire? Kasome report ya vita hii ipo american army forces library kila kitu kipo wazi watakwambia nani alidunda hadi akaenda kuomba ceasefire UN
Kwamba unaomba ruksa?!Buddah nimemalizana na wewe pita kushoto tena wacha niku block kabisa.
Unadhani israel hapendi kuingia mazima na kuwamaliza hezbollah ???Sasa hivi Kuna mapigano pia kati ya IDF na Hezbollah niambie idadi ya IDF na wanamgambo wa Hizbullah waliokufa mpaka sasa na hapo sio full scale war ni rasha rasha tu sikuambii wakiamua kuingia mazima Lebanon.
Iogopwe mara ngapi mkuu...Kama ni hivyo basi Israel ni hatari ya kuogopa.
Vita ni mahesabu kijana na sio kukurupuka tu , wanachofanya Hizbullah ni kutaka kuwaondoa Israel kwenye malengo Yao, Subiri wamalize kazi pale Gaza ndio uje uulize hilo swali.Unadhani israel hapendi kuingia mazima na kuwamaliza hezbollah ???
waislam ni magaid mmeua huko msumbiji , somalia , sudan , libyia hata nigeria , yeyote atayejitoa kuwadhibit bas tutamuunga mkono tuKasome Biblia yako vizuri,you are spiritually blind.Israel unayozungumzia wewe sio hii ya Natanyahu,hii ya Natanyahu inaongozwa na kinacuoitwa Sinagogi la Shetani.Soma Ufunuo 2:9 (Ufunuo 2:9 Najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje kwa kweli wewe ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita Wayahudi lakini si Wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake Shetani. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.) na 3:9(Ufunuo 3:9 Sikiliza! Nitawapeleka kwako watu wa kundi lake Shetani, watu ambao hujisema kuwa ni Wayahudi, kumbe sivyo, ila wanasema uongo. Naam, nitawapeleka kwako na kuwafanya wapige magoti mbele yako, wapate k | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.)
Halafu niwakumbushe hasa ninyi mnaojiita Evangelicals,hii Israel mnayoipigia chapuo, sio ile Israel Mungu anayoikusudia.Hii ya sasa imeundwa na akina Rothschild through the Balfour Declaration(Balfour Declaration - Wikipedia)
kwa kujiingiza kwa hila katika mpango wa Mungu wa kuwarudisha wana wa Israel katika Taifa lao.Naomba mkumbuke kwamba kila wakati Israel Mungu alipokuwa anawarudisha Nabii ndiye aliyekuwa anahusika.Sasa Israel kurudi 1948,Nabii yupi alihusika?Jibu ni hakuna,Shetani ameteka mpango wa Mungu,lakini bado Mungu hajawarudisha Wairael,kwa hiyo tunasubiri mpango huo wa Mungu.Yote yanayoendelea sasa kwenye inayoitwa Israel ni utapeli, ikiwa ni pamoja na kujenga hekalu lao juu ya the Dome of the Rock:msikiti mkubwa kabisa duniani kote, na kumsimika Mpinga Kristo humo.
Labda nikupe homework mkuu.Hivi waliokuwa wanaoitwa Waebrania leo wako wapi?Kumbuka hata Bwana Yesu mwenyewe ni Mwebrania.
300 halaf hakuna kifo ila Idf wakarusha drone 1 ikaua mtu mmojaHuhitaji kuwa na Phd kutambua hilo ubalozi tu ulipigwa watu wakalipiza na missile na madrone 300 sasa ikigundulika ni hivyo unategemea nini ??kama huna think tank jiwekee basi hata think kibakuli ili uweze kuanalyse mambo ya ulimwengu.
sawa Gaza imependeza sana na kuwa jiji la kisasa baada ya oct 7Ona unavyoropoka!
Nakuuliza maswali matatu tu,
1)Toka oktoba 7 Israel imeweza kutuliza ghasia ndani ya mipaka?
2)Je IDF wameweza kuwateketeza Hamas?
3)Je mateka wameweza kugombolewa?
Naomba majibu tafadhali.
vice versa is trueIn another point of view, the world thinks that Gaza is occupied by Israel, but the truth is that the world is occupied by Israel except Gaza.
Sure, the only place where Israel doesn't have full control is Gaza, that's why the operation is still going on. The rest of the world is already under Jews control.vice versa is true
Mmekosa hoja ya kujibu hayo maswali!?sawa Gaza imependeza sana na kuwa jiji la kisasa baada ya oct 7
Mtu mmoja yupi?300 halaf hakuna kifo ila Idf wakarusha drone 1 ikaua mtu mmoja
Yani ni sawa vita vya second congo war. Rwanda na Uganda walivamia drc kwa ajiri ya kumuondoa kabila.Vilipiganwa kusini mwa Lebanon eneo liitwalo Bint jubeir.
Japo chanzo kilianza kwa Hizbollah kuvamia askari wa mpakani wa Israel wa mpaka wa kaskazini, waliua watatu na kuwateka watano ili wadai wana Hizbollah wao waliokamatwa na Israel waachiwe ambapo kuna mmoja alikua kiongozi.
Eiwaa exactly 100%.Yani ni sawa vita vya second congo war. Rwanda na Uganda walivamia drc kwa ajiri ya kumuondoa kabila.
Mwishowe wakakutana na ukuta wa Angola na Zimbabwe.
Operations ilifeli 100% walipigana ila congo walikufa raia 5 million.
Na mali nyingi kuharibiwa.
Lkn Operations ya rwanda na Uganda ilifeli.
Na mwishowe rwanda wenyewe waliamua kuondoka
Kumbe unajua hao israel hawana jipya kivita hiko kodogo na hamas kimeshaonyesha madhaifu yao ,dunia nzima imeona they are weak , they deend too much on usa, france,uk and germany wao kama wao ni weupe sanaK
Vita ni mahesabu kijana na sio kukurupuka tu , wanachofanya Hizbullah ni kutaka kuwaondoa Israel kwenye malengo Yao, Subiri wamalize kazi pale Gaza ndio uje uulize hilo swali.
Urusi ipi ingemuua zelensky hii msafara wa km60 uliteketezwa pale kiev ama. Basi putin nae kumuua ni rahisiKumuua rais siyo kazi ngumu sana inapofanywa na nchi nyingine ...swala lengo lao la kisiasa litatimia ....nikama urussi ingetaka kumuua Zelensky wangesha fanya hivyo toka kitambo kabla ya kuweka mafichoni na USA
Iran hawa wenye ndege kuukuu na drones za mwanaserere hawana kitu maalim.Ukiendelea kuwatetea utakufa na sonona.Once again poleni na msiba!Iran leo nimesikia wakisema kama Israel kahusikia basi wajue safari hi watajuta kugusa Iran.
Wanasema pia kama US kahusika wanalo jibu lake pia.
Huoni Israel wamenza kukanusha hawakuhusika.
Mrusi anasema USA ndiye aliye husika na uwaji huo.
Tusubiri mchezo hu aliye chezea America safari hi atajuta nadhani hapo Middle East America itabidi akimbie.