Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

Evidence is now appearing indicating that the Iran Presidential Helicopter crash was an assassination

Iran hawezi rudia ujinga akifanya nilitegemea reaction kubwabaada ya Bibi kupiga Iran Military air base basi Iran angelipaza pa kubwa kama alivyotanabaisha marehemu Raisi ,lakini kinyume chake alijuwa alijaribu kifuatacho ni shida ,maana Bibi kupiga source ya Ulinzi wa nchi inategemea nn, S400 zikachakazwa , hiyo ilikuwa salamu tu Nyau kwa chagua wapi apige kama onyo .
Hata Putin ndo kabisa Hana lolote ,
Netanyahu hana kitu yeye anategemea msaada wa usa period na kwa sasa kwa kuwa khna raisi mzee mwenye dementia ndio maana wanaigeuza geuza usa watakavyo akina netanyahu ila kikiondoshwa kibabu hii support isiokuwa na mpaka ya usa itakuwa haipo hapo ndio utaona watu wakiufyata kama mbwa koko.
 
Back
Top Bottom