Evidence: Sitti Mtemvu, Vua taji la wa Tanzania

Evidence: Sitti Mtemvu, Vua taji la wa Tanzania

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
6,143
Reaction score
3,625
(Zimeambatanishwa)

Mie ni mmoja wa wale wa Tanzania tuliokua tukipenda mashindano ya Miss World. Na nchi yetu ilipoanza kupeperushwa huko duniani tena katika mashindano haya tulifurahia sana. Sasa na evidence zilitolewa ukaja na Ludenga kutudanganya ukiwa ulishindwa kujibu maswali ambayo hata mtoto wa miaka miwili anajua maisha yake.

Mie kama mTanzania nisie kujua usienijua jina lako nililisikia siku ya mashindano mwezi kwa mara ya kwanza hata surname yako.

Mkereketwa mpenda uTanzania ondoka sijui kwanini unalishikilia taji la nchi, sio la familia hilo.

Attached ni evidence tulizorushiwa bado hautaki, natumaini hamfikirii kuendelea kuonga. Na Kwa warekani utaonga pia? (ona proof ya umri wako) na umri wa cheti cha kuzaliwa cha kufoji cha Sept 2014.

Ni mie mwananchi mpenda nchi yangu.

thanks


Update: nimekuta mahala hii link ya kuonyesha inaongelewa duniani, wamejitahidi kuelezea yanayojiri Tanzania
bonyeza link hii chini

http://www.missosology.info/forum/viewtopic.php?f=4&t=515430



29th October 2014: Hivi kweli Hautaki kuachia ngazi na kurudisha taji unadhani tutasahau? unadhani utaweza kwenda kufanya chochte kama Miss TZ kwa kung'ang'ania taji tutanyamaza.

Ludenga mbona na wewe ni kimya?

Kwa kweli hii ni dharau kwa yie wahusika kukaa kimya esp baada ya uvumi wa account mliyooiita feki facebook hadi kuwaomba wai ban. kwanini hautaki kuonekana umevua taji, bado unalitaka sababu mlitumia pesa nyingi kuonga na mnataka zirudi kupitia foundation. sasa imekuwa pigo. anywy watu bado wanaripoti huko nje, yaani hadi embassy za nje wanatuma evidence.

RUDISHA TAJI LA WATANZANIA.
 

Attachments

  • 1414226936654.jpg
    1414226936654.jpg
    110.6 KB · Views: 1,815
  • 1414226949975.jpg
    1414226949975.jpg
    50.3 KB · Views: 1,728
  • 1414226959568.jpg
    1414226959568.jpg
    129.7 KB · Views: 1,700
  • 1414226974446.jpg
    1414226974446.jpg
    94.6 KB · Views: 1,683
  • 1414226986986.jpg
    1414226986986.jpg
    61.6 KB · Views: 1,876
  • 1414227012175.jpg
    1414227012175.jpg
    54 KB · Views: 1,649
  • 1414227038496.jpg
    1414227038496.jpg
    48.5 KB · Views: 1,678
  • 1414227070106.jpg
    1414227070106.jpg
    63.6 KB · Views: 1,657
  • 1414227089165.jpg
    1414227089165.jpg
    66.3 KB · Views: 1,685
  • 1414227188411.jpg
    1414227188411.jpg
    62.4 KB · Views: 1,703
Akivuliwa taji pia afikishwe kwenye vyombo vya sheria....yeye, team Lundenga na Parents wake.....
 
Naona she is just buying time. Mwisho wa siku ataachia taji kwa aibu. Anaweza kunywa sumu, inabidi apate uangalizi muda wote.
 
Avuliwe huyu mwizi wa siku, hatatuibia hata saa, hata hivyo mamlaka ya vizazi na vifo wachukuliwe hatua au watafute waliofoji hicho cheti, uenda nacho ni kanjanja, alafu mshindi wa pili apewe umiss na 17m sio za kanjanja lundenga 10m
 
Hizi habari za huyu miss ziwekwe sehemu moja maana zimetawanishwa sana na maudhui yale yale Invisible
 
Last edited by a moderator:
Hizi habari za huyu miss ziwekwe sehemu moja maana zimetawanishwa sana na maudhui yale yale Invisible

Kwanini sehemu moja, kwani umeona hii ni mdhaha, lini umeona ,tu anasoma evidence live ikiwa page ya 200. Ndio maana unakuta wengi kwa forums kuunganishwa uishia kurudia topics au maswali. size ya maneno ni ile ile na uonavyo topic ya tu/ kitu kimoja bali ina pande tofauti

Kama hautaki kusoma weye pita tu. Invisible naomba uache hili jambo ili lionwe na wa Tanzania sababu hii sio personal issue ni ya waTanzania.
 
Last edited by a moderator:
Habari za kijinga kama hizi zinachosha, mods futa huu uzi wa kijinga
 
I don't like him, But at this point I couldn't agree more! I was literally just saying this....
 
Habari za kijinga kama hizi zinachosha, mods futa huu uzi wa kijinga

Haaa umekuwa unatetea sana uongo huu sasa evidence za nguvu zimetoka unasema ni uzi wa kijinga, poleni na kudanganya waTanzania hamjatupata.
 
Back
Top Bottom