mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
(Zimeambatanishwa)
Mie ni mmoja wa wale wa Tanzania tuliokua tukipenda mashindano ya Miss World. Na nchi yetu ilipoanza kupeperushwa huko duniani tena katika mashindano haya tulifurahia sana. Sasa na evidence zilitolewa ukaja na Ludenga kutudanganya ukiwa ulishindwa kujibu maswali ambayo hata mtoto wa miaka miwili anajua maisha yake.
Mie kama mTanzania nisie kujua usienijua jina lako nililisikia siku ya mashindano mwezi kwa mara ya kwanza hata surname yako.
Mkereketwa mpenda uTanzania ondoka sijui kwanini unalishikilia taji la nchi, sio la familia hilo.
Attached ni evidence tulizorushiwa bado hautaki, natumaini hamfikirii kuendelea kuonga. Na Kwa warekani utaonga pia? (ona proof ya umri wako) na umri wa cheti cha kuzaliwa cha kufoji cha Sept 2014.
Ni mie mwananchi mpenda nchi yangu.
thanks
Update: nimekuta mahala hii link ya kuonyesha inaongelewa duniani, wamejitahidi kuelezea yanayojiri Tanzania
bonyeza link hii chini
http://www.missosology.info/forum/viewtopic.php?f=4&t=515430

29th October 2014: Hivi kweli Hautaki kuachia ngazi na kurudisha taji unadhani tutasahau? unadhani utaweza kwenda kufanya chochte kama Miss TZ kwa kung'ang'ania taji tutanyamaza.
Ludenga mbona na wewe ni kimya?
Kwa kweli hii ni dharau kwa yie wahusika kukaa kimya esp baada ya uvumi wa account mliyooiita feki facebook hadi kuwaomba wai ban. kwanini hautaki kuonekana umevua taji, bado unalitaka sababu mlitumia pesa nyingi kuonga na mnataka zirudi kupitia foundation. sasa imekuwa pigo. anywy watu bado wanaripoti huko nje, yaani hadi embassy za nje wanatuma evidence.
RUDISHA TAJI LA WATANZANIA.
Attachments
-
1414226936654.jpg110.6 KB · Views: 1,815 -
1414226949975.jpg50.3 KB · Views: 1,728 -
1414226959568.jpg129.7 KB · Views: 1,700 -
1414226974446.jpg94.6 KB · Views: 1,683 -
1414226986986.jpg61.6 KB · Views: 1,876 -
1414227012175.jpg54 KB · Views: 1,649 -
1414227038496.jpg48.5 KB · Views: 1,678 -
1414227070106.jpg63.6 KB · Views: 1,657 -
1414227089165.jpg66.3 KB · Views: 1,685 -
1414227188411.jpg62.4 KB · Views: 1,703