Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishatabiria hawatakuwa na amani mpaka dunia inaisha.
Ishu n kwamba kuna eneo kila taifa linataka litawale pekee yakeSolution pale ni kuwa na two states zitakazo ishi in harmony, huwezi kuifuta Palestine 🇵🇸 au huwezi kuifuta Israel 🇮🇱, zote ni nchi ziishi kwa kutambuana, Gaza strip na West bank, wapelestina waunganane wawe nchi moja kuliko sasa,huku wapo Hamas na kule wapo wengine, utengano huu unawadhoofisha mno,guy's vita isikie tu ,tusishabikie vita !,hapo bondeni Mozambique bado hapajatulia pia
Kila taifa linaona mwenzake shetani kwahiyo haiwezekani shetani na Mungu watawale kila mmoja pekee yake.Ishu n kwamba kuna eneo kila taifa linataka litawale pekee yake
Hakuna kitu hapo..waache chokochoko..mbona wataishi kwa amani tu..Wapalestina wanafanya makosa mabaya kuwarushia maroketi Israeli, Israeli ni kama Mwendawazimu aliyeshika panga anayesaidiwa na watu wenye nguvu na akili ya kawaida ni kwamba huwezi kupambana na kichaa mwenye panga anayesaidiwa na watu wenye nguvu.
Mungu anasema; "innallah maa swabiriina", sehemu nyingine Mungu anasema; Wa stainu biswabir wa swalat, basi Wapalestina iliwapasa wawe na subira na waswali sana kuomba msaada kutoka kwa Mungu ndipo Mungu angeweza kuwapa nusura katika hali inayowakumba kwani njia wanayotumia ya mapambano inawagharimu mno na hakuna hata nchi moja inayowasaidia katika mapambano.
Hakuna kitu hapo..waache chokochoko..mbona wataishi kwa amani tu..
#MaendeleoHayanaChama