Ewe Allah! Wape nusra ndugu zetu wa Palestina

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,591
Reaction score
6,946
20220808_215751.jpg
 
Wapalestina wanafanya makosa mabaya kuwarushia maroketi Israeli, Israeli ni kama Mwendawazimu aliyeshika panga anayesaidiwa na watu wenye nguvu na akili ya kawaida ni kwamba huwezi kupambana na kichaa mwenye panga anayesaidiwa na watu wenye nguvu.

Mungu anasema; "innallah maa swabiriina", sehemu nyingine Mungu anasema; Wa stainu biswabir wa swalat, basi Wapalestina iliwapasa wawe na subira na waswali sana kuomba msaada kutoka kwa Mungu ndipo Mungu angeweza kuwapa nusura katika hali inayowakumba kwani njia wanayotumia ya mapambano inawagharimu mno na hakuna hata nchi moja inayowasaidia katika mapambano.
 
Ni bora ukapigana na Marekani au China kuliko Israel

Ni ka-nchi kadogo, kana watu wachache na wadhaifu
Ila kwenye vita ni Daudi vs Goliati
 
Siku zote kinachowafanya wapalestina waonewe huruma kwenye hiyo vita ni sababu hawana silaha za kushindana na Israel, lakini kama wangekuwa nazo naamini wangepigana sana, sasa sijui kwanini wanaendelea kushindana na taifa lililowazidi nguvu.
 
Solution pale ni kuwa na two states zitakazo ishi in harmony, huwezi kuifuta Palestine 🇵🇸 au huwezi kuifuta Israel 🇮🇱, zote ni nchi ziishi kwa kutambuana, Gaza strip na West bank, wapelestina waunganane wawe nchi moja kuliko sasa,huku wapo Hamas na kule wapo wengine, utengano huu unawadhoofisha mno,guy's vita isikie tu ,tusishabikie vita !,hapo bondeni Mozambique bado hapajatulia pia
 
Ishu n kwamba kuna eneo kila taifa linataka litawale pekee yake
 
Wapalestina toka lini wakawa ndugu zako?

Dini ndio zinawafanya mkose akili kiasi hicho?
 
Wapalestina wanafanya makosa mabaya kuwarushia maroketi Israeli, Israeli ni kama Mwendawazimu aliyeshika panga anayesaidiwa na watu wenye nguvu na akili ya kawaida ni kwamba huwezi kupambana na kichaa mwenye panga anayesaidiwa na watu wenye nguvu.

Mungu anasema; "innallah maa swabiriina", sehemu nyingine Mungu anasema; Wa stainu biswabir wa swalat, basi Wapalestina iliwapasa wawe na subira na waswali sana kuomba msaada kutoka kwa Mungu ndipo Mungu angeweza kuwapa nusura katika hali inayowakumba kwani njia wanayotumia ya mapambano inawagharimu mno na hakuna hata nchi moja inayowasaidia katika mapambano.
Hakuna kitu hapo..waache chokochoko..mbona wataishi kwa amani tu..

#MaendeleoHayanaChama
 
Waache chokochoko huku ardhi yao inamegwa taratibu na Israeli!!--- mwishowe wakose nchi kabisaaaa!!😏.

Israeli kalaanika kwa ulimi wa Daudi na Issa bin Maryam (as).
 
Back
Top Bottom