Ewe binti kama una mpango wa kuzaa usije jaribu kutumia P2, wala njia za uzazi wa mpango

Ewe binti kama una mpango wa kuzaa usije jaribu kutumia P2, wala njia za uzazi wa mpango

Unajisahau huku utamu wa K ukiwa unanoga, huku umekumbatiwa na mikono. Halafu umepigwa loki na miguu pamoja na mapaja yaliyojaa yamekutaiti 🤣🤣🤣
Mkuu update style! Nje na kifo cha mende hamna style nyngn utapigwa lock
 
Ukute binti ni mfupi, kibonge halafu alikuwa anatumia haya makitu. Unaweza hisi amelogwa na kufungwa kizazi.
 
Kwa ufupi ulichosema hakina ukweli wowote,
Watu kibao wanatumia njia za uzaz wa mpango na wanapata watoto,

Halafu hilo tatizo la kutopata mimba sio kubwa kama unavyolizungumza hapa,
Hujui unalolisema wewe.
 
Kama hujui jambo tulia tu. Kuna tatizo kubwa la uzazi hasa Kwa wanawake wenye umri kuanzia 35+ fibroids imekuwa tatizo kubwa sana.

Sema ubishi umewajaa ukiwaambia uzazi wa mpango unasababisha fibroids wanakuwa wabishi.

Kuna mda utafika single Maza watakuwa na soko.
Huyu apelekwe kwenye clinics za magonjwa ya uzazi akapewe ripoti ndio ataelewa.

Nina shangazi yangu ana umri wa miaka 50+ anaikaribia 60 now. Ameshafanyiwa upasuaji mara tatu. Wa kutoa uvimbe.

Uvimbe wa kwanza aliuacha kwa muda mrefu sana alikuwa kama mjamzito ukimuona kumbe uvimbe na alikuwa anajizungusha kwenye hospital sababu ya hofu ya upasuaji. Walitoa uvimbe mkubwa sana wa kama kilo 4 kasoro.

Then zikafuatia operation mbili zaidi. Mwingine ni mke wa mshikaji ambaye alikuwa anagida sana madawa haya ya uzazi tena yale ya nyota ya kijani.

Alikuwa anapiga ule mkanda wote kwa wakati m'moja anaumeza wote. Aisee ni hatari sana mzee.
 
Jambo la kisayansi linapingwa kwa ufatiti wa kisayansi sio sweeping statements zisizo za kitaalamu.Ushauri wako ungebeba uzito kwa kuweka figures kuonyesha wangapi walitumia dawa za kuzuia mimba wakiwa vijana na kupata matatizo ya uzazi baadaye.
Bila hivyo ni assumptions tu.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa tafiti na kupenda majibu kwa kupata ripoti za kisayansi then prove it kwa kufuatilia ila sio ukae hapo utegemee uletewe taarifa mezani as if unalipa watu mishahara wakuletee ripoti.

Otherwise ungekuwa mstaarabu ungeomba in a humble and polite way kuonyeshwa tafiti zinasemaje.
 
naomba kuuliza kuweka kijiti kuna madhara gani mkuu kuna mtu nataka nimueleweshe kabla hajafanya maamuzi
Ina disturb hormones na kuharibu cycle ya utoaji mayai plus inaleta shida katika mfumo wa uzazi kwenye utungaji wa mimba.
 
Hivi ntajuaje kama huyu mdada aliwahi tumia P2? Vipimo vya hospital vinaonesha?

Ntajuaje aliwahi toa mimba? Au mpaka aniambie mwenyw

Ntajuaje aliwahi zaaa?
Anza kwa kumuuliza, mwanamke ukimbana na maswali ya kipolisi na intelijensia atakwambia kila kitu. Women are not good in hiding secrets.
 
Ni kweli ni mbaya P2 moja ni vidonge 50 vya uzazi wa mpango ingine hayo matakataka ya kuzuia mimba ni mbaya sana kwa wanaoendelea kuzaa na ambao hawajaanza
Imagine sasa kuna mabinti wanavimeza kila siku, kila wiki kila mwezi.
 
Anza kwa kumuuliza, mwanamke ukimbana na maswali ya kipolisi na intelijensia atakwambia kila kitu. Women are not good in hiding secrets.
Hili la kutoa mimba 🙌 sidhan kama atasema
 
Nilimkataza wife njia za uzaz,,
Nikawa namwaga nje,,
Mara moja moja nikawa naweka kambani 🤣 ,
Kupima mjamzito, 😂,

Hii njia ya kumwaga nje hatar sana,,
Kama ni wife haina tatizo zaa watoto bro, mimi sijaoa ila nina girlfriend sitaki aguse haya mavitu hivyo namwaga nje na kumwaga ndani ni safe days only, ila nimeanza kumtia baada ya kuwa na uhakika hata akipata mimba sio case, two years now hajagusa nataka siku ikiingia tu nimweke ndani na huko ndani natafta hela kwa bidii ata akizaa watoto sita haina shida, akimaliza kuzaa ndo atumie hayo madude ila na imani mpaka hiyo time nitakua nimeshapata safest way b'se technology is evolving
 
Hili la kutoa mimba [emoji119] sidhan kama atasema
Mwambie kuwa unataka kuanzisha uzao na yeye hivyo ni vema akiri watoto wote aliowatoa ili ufunge kusali kwaajiri yake kuombea uzao mpya mtaoanza zile roho za watoto alizotoa zisijerejea na kutafuta kisasi kwake.

Mshirikishe na kiongozi wa dini, asiposema hapo usimuoe huyo ni jambazi. Kama aliua watoto wake tumboni wewe atakuua bila shida.
 
Atakavyoivuruga hiyo period yake atajuta.
aaah!!! maana yake akishakuja kutoa hiko kijiti kwa baadae ndyo ataanza kuvuruga period haitoeleweka kabsa..? mkuu naomba nieleweshe maana nmeshauriana na mtu wangu nataka akaweke kijiti maan ndo naona kama njia rahisi kidg ushaur wako
 
Kama ni wife haina tatizo zaa watoto bro, mimi sijaoa ila nina girlfriend sitaki aguse haya mavitu hivyo namwaga nje na kumwaga ndani ni safe days only, ila nimeanza kumtia baada ya kuwa na uhakika hata akipata mimba sio case, two years now hajagusa nataka siku ikiingia tu nimweke ndani na huko ndani natafta hela kwa bidii ata akizaa watoto sita haina shida, akimaliza kuzaa ndo atumie hayo madude ila na imani mpaka hiyo time nitakua nimeshapata safest way b'se technology is evolving
Ngoja tuzae hamna namna kaka
 
Waache watumie sababu ukifikiria kwa makini hamna sababu ya kuleta watoto duniani waje kuzunguka duara lilelile la kuwanufaisha kina Yehova, Allah, Jah na wajanja wengine wengi

Yani uzae mtoto aende shule, atafute hela ajenge nae alete watoto kisha afe.
Mzunguko uleule wa kuishi kunufaisha miungu iliyo mbali na iliyokaribu kwanini?
Bora tulio hai tuendelee kupungua ili wanaonufaika na sisi(miungu) ipate changamoto ya kuishi kuhangaika kama inavyotuhangaisha sisi.

Wametugeuza minara yao kwa manufaa yao huku sisi tukiwa hatupati faida yoyote zaidi ya mateso

Kuzaana ni wajibu wa kiasili.
 
Kwa ufupi ulichosema hakina ukweli wowote,
Watu kibao wanatumia njia za uzaz wa mpango na wanapata watoto,

Halafu hilo tatizo la kutopata mimba sio kubwa kama unavyolizungumza hapa,

Nadiliki kusema huna ulijualo ama wewe ni mpiga debe wa taasisi za uzazi wa mpango.
 
Back
Top Bottom