Ewe binti kama una mpango wa kuzaa usije jaribu kutumia P2, wala njia za uzazi wa mpango

Ewe binti kama una mpango wa kuzaa usije jaribu kutumia P2, wala njia za uzazi wa mpango

Jambo la kisayansi linapingwa kwa ufatiti wa kisayansi sio sweeping statements zisizo za kitaalamu.Ushauri wako ungebeba uzito kwa kuweka figures kuonyesha wangapi walitumia dawa za kuzuia mimba wakiwa vijana na kupata matatizo ya uzazi baadaye.
Bila hivyo ni assumptions tu.

Tafiti ziko nyingi sana na zimeweka bayana.
 
hiyo p2 na sehemu za siri ingewekewa meter aisee sehemu za siri zingekuwa zina soma bili ambayo ingekuwa tanesco ni mdaiwa sugu wa umeme
 
aaah!!! maana yake akishakuja kutoa hiko kijiti kwa baadae ndyo ataanza kuvuruga period haitoeleweka kabsa..? mkuu naomba nieleweshe maana nmeshauriana na mtu wangu nataka akaweke kijiti maan ndo naona kama njia rahisi kidg ushaur wako

Madhara ni makubwa,atapata mvurugiko wa hedhi,damu kutoka mfurulizo ama kutokutoa kabisa,damu kutoka na mabongebonge,na mwisho wa siku itachukua muda kukaa sawa ama asikae sawa kabisa
 
Wazazi,walezi tuwakumbushe binti zetu jambo hili.

Kwa sasa ndoa nyingi sana zinapitia changamoto ya uzazi,hii ni kutokana mabinti wengi walitumia njia za uzazi wa mpango ama p2 kwa muda mrefu kipindi cha ujana.

Hii imepelekea mvurugikano wa homoni za kuchochea uzazi,kupatwa na magonjwa kama fibroids,kansa za kizazi,mvurugiko wa homoni n.k

Ewe kijana kama unatafuta mke wa kuoa na kukuletea familia epuka wanawake waliowahi kutumia madawa ya uzazi wa mpango hakika utateseka kupata uzao.

Enyi mabinti chondechode msitumie hayo madawa kama unalengo la kuwa na familia badae.

Wanawake wanene kupitiliza nao wana changamoto kubwa za uzazi.

Msije sema sikuwaambia.

Muwe na Jpl njema.

Sasa tutajuaje kama wametumia izo dawa mona changamoto?
 
Madhara ni makubwa,atapata mvurugiko wa hedhi,damu kutoka mfurulizo ama kutokutoa kabisa,damu kutoka na mabongebonge,na mwisho wa siku itachukua muda kukaa sawa ama asikae sawa kabisa
aaah kabsa mkuu ngja nimshaur aachane nayo tu tutumie kondomu kama n hv
 
Back
Top Bottom