Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mkuu update style! Nje na kifo cha mende hamna style nyngn utapigwa lockUnajisahau huku utamu wa K ukiwa unanoga, huku umekumbatiwa na mikono. Halafu umepigwa loki na miguu pamoja na mapaja yaliyojaa yamekutaiti 🤣🤣🤣
Hujui unalolisema wewe.Kwa ufupi ulichosema hakina ukweli wowote,
Watu kibao wanatumia njia za uzaz wa mpango na wanapata watoto,
Halafu hilo tatizo la kutopata mimba sio kubwa kama unavyolizungumza hapa,
Huyu apelekwe kwenye clinics za magonjwa ya uzazi akapewe ripoti ndio ataelewa.Kama hujui jambo tulia tu. Kuna tatizo kubwa la uzazi hasa Kwa wanawake wenye umri kuanzia 35+ fibroids imekuwa tatizo kubwa sana.
Sema ubishi umewajaa ukiwaambia uzazi wa mpango unasababisha fibroids wanakuwa wabishi.
Kuna mda utafika single Maza watakuwa na soko.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa tafiti na kupenda majibu kwa kupata ripoti za kisayansi then prove it kwa kufuatilia ila sio ukae hapo utegemee uletewe taarifa mezani as if unalipa watu mishahara wakuletee ripoti.Jambo la kisayansi linapingwa kwa ufatiti wa kisayansi sio sweeping statements zisizo za kitaalamu.Ushauri wako ungebeba uzito kwa kuweka figures kuonyesha wangapi walitumia dawa za kuzuia mimba wakiwa vijana na kupata matatizo ya uzazi baadaye.
Bila hivyo ni assumptions tu.
Ina disturb hormones na kuharibu cycle ya utoaji mayai plus inaleta shida katika mfumo wa uzazi kwenye utungaji wa mimba.naomba kuuliza kuweka kijiti kuna madhara gani mkuu kuna mtu nataka nimueleweshe kabla hajafanya maamuzi
Anza kwa kumuuliza, mwanamke ukimbana na maswali ya kipolisi na intelijensia atakwambia kila kitu. Women are not good in hiding secrets.Hivi ntajuaje kama huyu mdada aliwahi tumia P2? Vipimo vya hospital vinaonesha?
Ntajuaje aliwahi toa mimba? Au mpaka aniambie mwenyw
Ntajuaje aliwahi zaaa?
Ungesema tu kuwa mahouse girl mayai yao yapo karibu mbona unapenda kutumia vificho?Tone moja la bao, linatosha kutia mimba. Kumwaga nje sio salama. Pia kuna wanawake wako very fertile, mayai yao yako karibu mno, tone moja, imooo.
Imagine sasa kuna mabinti wanavimeza kila siku, kila wiki kila mwezi.Ni kweli ni mbaya P2 moja ni vidonge 50 vya uzazi wa mpango ingine hayo matakataka ya kuzuia mimba ni mbaya sana kwa wanaoendelea kuzaa na ambao hawajaanza
Hili la kutoa mimba 🙌 sidhan kama atasemaAnza kwa kumuuliza, mwanamke ukimbana na maswali ya kipolisi na intelijensia atakwambia kila kitu. Women are not good in hiding secrets.
Eh yupo kwenyw high risk yakukosa watoto angalia video ya umi mwalimu akiwa anaelezea p2Imagine sasa kuna mabinti wanavimeza kila siku, kila wiki kila mwezi.
Kama ni wife haina tatizo zaa watoto bro, mimi sijaoa ila nina girlfriend sitaki aguse haya mavitu hivyo namwaga nje na kumwaga ndani ni safe days only, ila nimeanza kumtia baada ya kuwa na uhakika hata akipata mimba sio case, two years now hajagusa nataka siku ikiingia tu nimweke ndani na huko ndani natafta hela kwa bidii ata akizaa watoto sita haina shida, akimaliza kuzaa ndo atumie hayo madude ila na imani mpaka hiyo time nitakua nimeshapata safest way b'se technology is evolvingNilimkataza wife njia za uzaz,,
Nikawa namwaga nje,,
Mara moja moja nikawa naweka kambani 🤣 ,
Kupima mjamzito, 😂,
Hii njia ya kumwaga nje hatar sana,,
Mwambie kuwa unataka kuanzisha uzao na yeye hivyo ni vema akiri watoto wote aliowatoa ili ufunge kusali kwaajiri yake kuombea uzao mpya mtaoanza zile roho za watoto alizotoa zisijerejea na kutafuta kisasi kwake.Hili la kutoa mimba [emoji119] sidhan kama atasema
aaah!!! maana yake akishakuja kutoa hiko kijiti kwa baadae ndyo ataanza kuvuruga period haitoeleweka kabsa..? mkuu naomba nieleweshe maana nmeshauriana na mtu wangu nataka akaweke kijiti maan ndo naona kama njia rahisi kidg ushaur wakoAtakavyoivuruga hiyo period yake atajuta.
Ngoja tuzae hamna namna kakaKama ni wife haina tatizo zaa watoto bro, mimi sijaoa ila nina girlfriend sitaki aguse haya mavitu hivyo namwaga nje na kumwaga ndani ni safe days only, ila nimeanza kumtia baada ya kuwa na uhakika hata akipata mimba sio case, two years now hajagusa nataka siku ikiingia tu nimweke ndani na huko ndani natafta hela kwa bidii ata akizaa watoto sita haina shida, akimaliza kuzaa ndo atumie hayo madude ila na imani mpaka hiyo time nitakua nimeshapata safest way b'se technology is evolving
Kwa lugha nyingine unawaambia waache ngono zembe...
Ahsante kwa ushauri.
Waache watumie sababu ukifikiria kwa makini hamna sababu ya kuleta watoto duniani waje kuzunguka duara lilelile la kuwanufaisha kina Yehova, Allah, Jah na wajanja wengine wengi
Yani uzae mtoto aende shule, atafute hela ajenge nae alete watoto kisha afe.
Mzunguko uleule wa kuishi kunufaisha miungu iliyo mbali na iliyokaribu kwanini?
Bora tulio hai tuendelee kupungua ili wanaonufaika na sisi(miungu) ipate changamoto ya kuishi kuhangaika kama inavyotuhangaisha sisi.
Wametugeuza minara yao kwa manufaa yao huku sisi tukiwa hatupati faida yoyote zaidi ya mateso
Kwa ufupi ulichosema hakina ukweli wowote,
Watu kibao wanatumia njia za uzaz wa mpango na wanapata watoto,
Halafu hilo tatizo la kutopata mimba sio kubwa kama unavyolizungumza hapa,