Ewe binti kama una mpango wa kuzaa usije jaribu kutumia P2, wala njia za uzazi wa mpango

Tafiti ziko nyingi sana na zimeweka bayana.
 
hiyo p2 na sehemu za siri ingewekewa meter aisee sehemu za siri zingekuwa zina soma bili ambayo ingekuwa tanesco ni mdaiwa sugu wa umeme
 
aaah!!! maana yake akishakuja kutoa hiko kijiti kwa baadae ndyo ataanza kuvuruga period haitoeleweka kabsa..? mkuu naomba nieleweshe maana nmeshauriana na mtu wangu nataka akaweke kijiti maan ndo naona kama njia rahisi kidg ushaur wako

Madhara ni makubwa,atapata mvurugiko wa hedhi,damu kutoka mfurulizo ama kutokutoa kabisa,damu kutoka na mabongebonge,na mwisho wa siku itachukua muda kukaa sawa ama asikae sawa kabisa
 
Sasa tutajuaje kama wametumia izo dawa mona changamoto?
 
Madhara ni makubwa,atapata mvurugiko wa hedhi,damu kutoka mfurulizo ama kutokutoa kabisa,damu kutoka na mabongebonge,na mwisho wa siku itachukua muda kukaa sawa ama asikae sawa kabisa
aaah kabsa mkuu ngja nimshaur aachane nayo tu tutumie kondomu kama n hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…