Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu.

Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia.

amini usi amini, Kuna vyama vya kutetea na kusikiliza kero na matatizo ya familia, wafanya kazi, Wana michezo.

ila umoja wa ma jobless haupo, ni Kama hawa onekani.
wanacho pata ni kubezwa, kusemwa na hata kuandamwa kwa maneno.

Mimi Intelligent businessman baada ya kukaa na kutafakari, nika ona kwakuwa hatuna pesa, basi hata kusikiliza na kupeana mawazo ya faraja ni bora zaidi.

tuta jadili, semea na hata kuelimisha mambo chungu nzima yali yomo kwenye u jobless.

kauli mbiu ni umoja, upendo na amani.

hakuna michango.
hakuna pesa za bure
hakuna ubaguzi.
tetea haki ya jobless.

kidumu chama Cha ma jobless pro max
.

View attachment 3223638
Naitwa baba la baba Originally! Side Mnyamwezi 😂 Nauza nyembe Kali! Unatinda na unanyoa freshi kabisa.. 😁 Oyii Oyii Oyii ebana daah
 
Back
Top Bottom