Infringement of privacy is a criminal offense.
japo sisi ni ma jobless pro max, ila tuna haki ya faragha.
kuficha vyanzo vyetu vya mapato kwa ajili ya usalama.
infringement of privacy is a criminal offense, ali sema Pascal Mayalla.So mnaiba siyo?
Anataka kazi zisizohusisha mifupa na misuli ππ, awe makini mjini apa.
Basi huna hojainfringement of privacy is a criminal offense, ali sema Pascal Mayalla.
japo sisi ni ma jobless pro max, ila tuna haki ya faragha yetu.
mi na wewe asiye na hoja ni nani!, maana Ume komalia kujua vyanzo vya mapato ya watu?Basi huna hoja
NakaziaInfringement of privacy is a criminal offense.
japo sisi ni ma jobless pro max, ila tuna haki ya faragha.
kuficha vyanzo vyetu vya mapato kwa ajili ya usalama.
Naitwa baba la baba Originally! Side Mnyamwezi π Nauza nyembe Kali! Unatinda na unanyoa freshi kabisa.. π Oyii Oyii Oyii ebana daahUmoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu.
Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia.
amini usi amini, Kuna vyama vya kutetea na kusikiliza kero na matatizo ya familia, wafanya kazi, Wana michezo.
ila umoja wa ma jobless haupo, ni Kama hawa onekani.
wanacho pata ni kubezwa, kusemwa na hata kuandamwa kwa maneno.
Mimi Intelligent businessman baada ya kukaa na kutafakari, nika ona kwakuwa hatuna pesa, basi hata kusikiliza na kupeana mawazo ya faraja ni bora zaidi.
tuta jadili, semea na hata kuelimisha mambo chungu nzima yali yomo kwenye u jobless.
kauli mbiu ni umoja, upendo na amani.
hakuna michango.
hakuna pesa za bure
hakuna ubaguzi.
tetea haki ya jobless.
kidumu chama Cha ma jobless pro max .
View attachment 3223638
Karibu katika chama Cha ma jobless pro maxNaitwa baba la baba Originally! Side Mnyamwezi π Nauza nyembe Kali! Unatinda na unanyoa freshi kabisa.. π
Chiwaduu! Niite Baba la baba Originally πKaribu katika chama Cha ma jobless pro max
Niite Chinga Wa Dunia..πChiwaduu!! Nina nyembe inakwangua na ngozi inabaki nyeupe kabisaa! You Know πKatibu min -me ban yako ime isha π π
Nili ona ban asubui, nika waza namna gani hapa π πKumbe ππ
Kidumu mitano tenaKidumu chama Cha ma jobless pro max