Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ewe. jobless jobless jobless nime kuita mara tatu, Leo usipo tumia akili zako basi usije kulia lia siku ya kesho.
jobless hizi hisia za mapenzi unazo onyeshwa leo ni mtego tu ili mfuko na akiba yako ichotwe kiboya.
hivyo tuliza wenge, aki kuuliza uko wapi?, mwambia nipo nyumbani naumwa Sana.
huyo binti akija kukuona, basi ana upendo kiasi chake kwako.
Ila uki mwambia una umwa, halafu akakaa kimya, basi huyo ni chui aliye kwenye mawindo.
Ewe jobless Kama una mchumba aliye mwaminifu kwako, basi apple 1, chocolate 1 na lollypop ni zawadi fulani hivi ya kinywamwezi.
Kama ni muelewa ata appreciate, aki anza kulalamika msindikize na flying dragon kick ya dony yen au van Damme.
(Lengo ni kulinda maslahi yako).
Zingatia, siku ya valentine si tu kwa ajili ya wachumba, bali onyesha upendo kwa familia yako, na hata Jamaa zako wa muhimu.