Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Lomba hiyo ps 4 sasa 😂Wacha bhangi nusu albino, ps 4 si ni hela mnazo honga mademu?.
Mimi badala ya kuhonga nika ona nichukue ps.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lomba hiyo ps 4 sasa 😂Wacha bhangi nusu albino, ps 4 si ni hela mnazo honga mademu?.
Mimi badala ya kuhonga nika ona nichukue ps.
PS4 na madem, nachagua ps 4 🤣Lomba hiyo ps 4 sasa 😂
Sawa endelea kubaka mikonoPS4 na madem, nachagua ps 4 🤣
Ndo michezo yako ehh😂🤣Sawa endelea kubaka mikono
Tulia jobless wenzako wapigwe Kama wew ulivyopigwa zamani.Ewe. jobless jobless jobless nime kuita mara tatu, Leo usipo tumia akili zako basi usije kulia lia siku ya kesho.
jobless hizi hisia za mapenzi unazo onyeshwa leo ni mtego tu ili mfuko na akiba yako ichotwe kiboya.
hivyo tuliza wenge, aki kuuliza uko wapi?, mwambia nipo nyumbani naumwa Sana.
huyo binti akija kukuona, basi ana upendo kiasi chake kwako.
Ila uki mwambia una umwa, halafu akakaa kimya, basi huyo ni chui aliye kwenye mawindo.
Ewe jobless Kama una mchumba aliye mwaminifu kwako, basi apple 1, chocolate 1 na lollypop ni zawadi fulani hivi ya kinywamwezi.
Kama ni muelewa ata appreciate, aki anza kulalamika msindikize na flying dragon kick ya dony yen au van Damme.
(Lengo ni kulinda maslahi yako).
Zingatia, siku ya valentine si tu kwa ajili ya wachumba, bali onyesha upendo kwa familia yako, na hata Jamaa zako wa muhimu. View attachment 3236260
Sija wahi pigwaTulia jobless wenzako wapigwe Kama wew ulivyopigwa zamani.
naam kidumu chama Cha ma jobless pro maxMista presidential katika ubora
Kidumunaam kidumu chama Cha ma jobless pro max
Michezo yangu ni kuhongaNdo michezo yako ehh😂🤣
Hasara kubwa 😂Michezo yangu ni kuhonga
😂😂😂Anza wwanyway tuta zikia wapi?
Mie bado nipo nipo sana😂😂😂Anza ww
Mwenyew saiv bora mgongo uuume tu maana sitaweza sex kwa Karne hiiMie bado nipo nipo sana
SawaMwenyew saiv bora mgongo uuume tu maana sitaweza sex kwa Karne hii
Wapo