Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Uzi huu ni Kwa ajili ya wanachama wa chama Cha ma jobless pro max, lengo ni kuzungumzia suala fulani la kimawazo au kimaamuzi linalo fanywa na ma jobless.
Siku za hivi karibuni nime kuwa niki Soma taarifa, nyuzi au hata kuji onea kwa macho baadhi ya matukio ambayo yana umiza roho au nafsi kiukweli. Katika kufatilia, kusikia na hata Kwa kuambiwa, matukio mengi yana fanywa na ma jobless pro max. (Ina sikitisha sana).
Hivyo siko hapa kukupa moyo ewe jobless, bali nasema ukweli fulani ili uamue kipi ni bora kwa upande wako.
1. kuteseka sana haikupi uhakika wa kufanikiwa, ewe jobless elewa huyadai maisha hivyo unapo ona hali ni ngumu hicho sio kigezo Cha kupata urahisi baadae. Unaweza teseka na bado usi fanikiwe, nime shuhudia watu baadhi wali kuwa masikini na bado ni masikini wa kutupwa hivyo elewa hili na usi jipe moyo sana.
2. Wengi tuna penda matokeo na sio hatua zenyewe, vijana wengi tuna penda kuona tukiwa na pesa, nyumba na wengine waki tamani kufanya starehe hapa na pale.
Ila kiuhalisia hizo pesa, bata, nyumba ni matokeo ya sehemu ndogo ya utafutaji wenyewe.
we mwenyewe hushangai una tafuta hela kwa muda mrefu halafu mchongo una tiki siku 1 labda katika miezi 6? Hiyo miezi mwingine haina maana ni uzembe bali ni hatua za juhudi zako.
3. Kila mtu ana matatizo yake, amini usi amini no one is safe kuanzia matajiri, raisi, masikini na hata majobless kila mmoja ana mambo yana mpa wakati ngumu, ukilielewa hili, basi uta jua kwamba hicho unacho kipitia wengine wana tamani wange kuwa na nafasi Kama yako.
4. Tembelea hospitali ukaone wenye matatizo zaidi yako, hebu Mara 1 nenda hospital yoyote kubwa nenda kaji ones watu waki pambania nafsi zao. Kuna watu hata kuamka hawawezi, kupumua wana tumia mashine, kula chakula mpaka mipira aisee. Wengine hizo bili za hospital walisha zikimbia, halafu we una lalamika eti life ain't good.
5. Fikiria familia yenu kabla ya kuchukua maamuzi, Kama huwezi kuji fikiria basi ihurumie hata familia yenu, hao wadogo zako wata pambaniwa na nani? Fikiria mdogo wako wa miaka 10, 7, 6 au 3 ata jifunza nini kupitia maamuzi yako!.
6. Zungumza na watu upate utatuzi, kukaa kimya na tatizo sio ushujaa au ndio kuwa nunda. Ongea na watu ili angalau upate ushauri au utatuzi wa changamoto zako.
(I'm available 24/7 sio kukupa hela, ni kujaribu ku share life experience).
Nimeongea kwa uzoefu wa kimaisha na kimaamuzi (binafsi).