Ewe Jobless usiwahi haribu au katisha maisha yako kisa changamoto yoyote

Ewe Jobless usiwahi haribu au katisha maisha yako kisa changamoto yoyote

Amen
Nimeona majobless wakikata tamaa na kuishia kumlaani na kudai Mungu hayupo. Tuzidi kuomba na kuombeana. Tuzidi kushukuru kwa kuamka, kupumua oxygen ya bure, kupata jua, mvua, kuwa na miguu yote,macho,pua,mikono, na afya njema, kuwa kwenye amani kuna wanaochinjana kule Bukavu.

Kukosa job sio mwisho wa life, kuwa na job sio ukamilifu wa life.
Naam kidumu chama Cha ma jobless pro max
 
This is Golden advice to my fellow Jobless : Tuoeni mapema kwenye kuoa Kuna utulivu na huenda ikawa sababu ya michongo kufunguka .

Kuoa sio lazima uwe tajiri kipato bali ukiwa kidogo Cha kawaida ambacho kinaweza kusukuma life ya familia kusonga usiogope wewe OA tu.
 
Attachments

  • Chugganation_20231003__1709154888020529299_1_16366281064075550730.mp4
    250.9 KB
Maisha yamebadilika sana kwasasa. Kama unasubiri ajira unaweza kufikisha miaka 60 na bado hakuna ajira kwasabb uhitaji ni mkubwa sana. Leo ikitoka kazi ya watu 100, watakaomba hiyo kazi itakuwa watu 20,000. Je, wewe hapo utapata kazi?
Pesa haipatikani kwenye kazi moja tu uliyosomea. Wewe mhitimu, fungia vyeti vyako hama mkoa na ukajichanganye huko. Beba zege, fanya vibarua upate mtaji ufanye biashara itakayokuingizia hela.
 
Mkuu ume elewa kilicho zungumziwa?, hapa nime zungumzia afya ya akili na maamuzi mzee.
 
Uzi huu ni Kwa ajili ya wanachama wa chama Cha ma jobless pro max, lengo ni kuzungumzia suala fulani la kimawazo au kimaamuzi linalo fanywa na ma jobless.

siku za hivi karibuni nime kuwa niki Soma taarifa, nyuzi au hata kuji onea kwa macho baadhi ya matukio ambayo yana umiza roho au nafsi kiukweli.

katika kufatilia, kusikia na hata Kwa kuambiwa, matukio mengi yana fanywa na ma jobless pro max. (Ina sikitisha sana).

Hivyo siko hapa kukupa moyo ewe jobless, bali nasema ukweli fulani ili uamue kipi ni bora kwa upande wako.

01, kuteseka sana haikupi uhakika wa kufanikiwa, ewe jobless elewa huyadai maisha hivyo unapo ona hali ni ngumu hicho sio kigezo Cha kupata urahisi baadae.

Una weza teseka na bado usi fanikiwe, nime shuhudia watu baadhi wali kuwa masikini na bado ni masikini wa kutupwa.
hivyo elewa hili na usi jipe moyo sana.

02, Wengi tuna penda matokeo na sio hatua zenyewe.
vijana wengi tuna penda kuona tukiwa na pesa, nyumba na wengine waki tamani kufanya starehe hapa na pale.

Ila kiuhalisia hizo pesa, bata, nyumba ni matokeo ya sehemu ndogo ya utafutaji wenyewe.
we mwenyewe hushangai una tafuta hela kwa muda mrefu halafu mchongo una tiki siku 1 labda katika miezi 6?.
hiyo miezi mwingine Haina maana ni uzembe bali ni hatua za juhudi zako.

03, Kila mtu ana matatizo yake, amini usi amini no one is safe kuanzia matajiri, raisi, masikini na hata majobless kila mmoja ana mambo yana mpa wakati ngumu.
uki lielewa hili, basi uta jua kwamba hicho unacho kipitia wengine wana tamani wange kuwa na nafasi Kama yako.

04, tembelea hospitali ukaone wenye matatizo zaidi yako, hebu Mara 1 nenda hospital yoyote kubwa nenda kaji ones watu waki pambania nafsi zao.
KUna watu hata kuamka hawawezi, kupumua wana tumia mashine, kula chakula mpaka mipira aisee.
Wengine hizo bili za hospital walisha zikimbia, halafu we una lalamika eti life ain't good.

05, Fikiria familia yenu kabla ya kuchukua maamuzi, Kama huwezi kuji fikiria basi ihurumie hata familia yenu, hao wadogo zako wata pambaniwa na nani?.
FIkiria mdogo wako wa miaka 10, 7, 6 au 3 ata jifunza nini kupitia maamuzi yako!.

06, zungumza na watu upate utatuzi, kukaa kimya na tatizo sio ushujaa au ndio kuwa nunda.
Ongea na watu ili angalau upate ushauri au utatuzi wa changamoto zako.
(I'm available 24/7 sio kukupa hela, ni kujaribu ku share life experience).

nime ongea kwa uzoefu wa kimaisha na kimaamuzi(binafsi).
View attachment 3243943
Hili andiko limenyooka sana na nimeipenda hiyo namba moja na nimeichukua kama ilivyo.

Lakini pia niseme tu ya kwamba mapambano yaendelee pasipo kutegemea huruma za watu wengine ndio zije kukuokoa kwenye dimbwi la matatizo yako.

Lakini pia tujue ya kwamba safari ni hatua, inawezekana wote tunapiga hatua sawa ila tunatofautiana destination kwahiyo usikatishwe tamaa na mafanikio ya mtu mmoja mwingine kiasi cha kuacha kuendelea na hatua zako, elewa tu ya kwamba yeye tayari ameshafika ila nawewe pia utafika kwahiyo keep going.

Hakikisha unayo mipango na unapoitekeleza itekeleze kwa moyo mmoja usifanye mambo nusunusu kisa tu uko na plan B(kwa maana ya vyeti ulivyofungia kabatini).

Lakini pia Usimuachie ndege uliyenae mkononi kisa tu umeona ndege watatu kwenye mti.... Thamini ulichonacho.

Waziri wenu hapa wa mambo ya ndani.
 
Wewe ndio ume elewa andiko vyema Sana, afya ya kiakili na kimaamuzi ni muhimu.
 
This is Golden advice to my fellow Jobless : Tuoeni mapema kwenye kuoa Kuna utulivu na huenda ikawa sababu ya michongo kufunguka .

Kuoa sio lazima uwe tajiri kipato bali ukiwa kidogo Cha kawaida ambacho kinaweza kusukuma life ya familia kusonga usiogope wewe OA tu.
Mgeni wa Jiji, Mpaji Mungu, and 100 others, makutupora huyu tuna zikia wapi🤣😂
 
Umesema vema Mh. Rais wa Majobless Promax

Haijalishi Mambo ni Magumu kiasi Gani, kujishusha thamani na kujiondoa uhai wako si suluhisho Bora!

Kuna asubuhi yenye mwangaza katika kila Giza lenye kutisha!

Tusikate Tamaa Majobless
Naam afya ya akili na kimaamuzi ni muhimu.
 
Mkuu ume elewa kilicho zungumziwa?, hapa nime zungumzia afya ya akili na maamuzi mzee.
Mtu ambaye hajasoma tena unamzidi elimu anapambana Ameoa na ana watoto anasomesha kwa kazi za kuungaunga halafu wewe mwenyewe elimu unataka kuchukua maamuzi mabaya😀😀😀
Maisha yapo kikatili sana, kama ni mvivu, mzembe, legelege na hujishughulishi kwa chochote lazima yakuadhibu
 
Back
Top Bottom