Ewe Jobless usiwahi haribu au katisha maisha yako kisa changamoto yoyote

NENO LA KUWATIA MOYO MAJOBLESS - KUTOKA KWA SEMAJI LA CHAMAAAA CHA MAJOBLESS

Naelewa by experience magumu na maumivu wanayopitia jobless wenzangu! Si swala la utani wa si swala la beza.

Kule nyumbani Tanga, tuna msemo unasema "Ukitaka kuyajua maumivu ya kuungua, ingiza mkono kwenye moto unaopikia kahawa"

Sikumbuki ni lini! Ila nilikuwa ni mmoja wapo wa jobless ambaye nimekata Tama sana, kiwango changu Cha kukata tamaa kulikuwa ni kikubwa kiasi cha kutamani kifo kuliko kuishi!

Kwenye Biblia ipo habari ya Ayubu, Moja ya maneno aliyowahi kuyasema Kipindi anapita Nyakati Ngumu ni haya;

Ayubu 7:15
[15]Hata nafsi yangu huchagua kunyongwa,
Na kuchagua kifo kuliko maumivu yangu haya.

So that my soul chooseth strangling, and death rather than my life.

Lakini pasipo aibu wala kujificha niliyasema maumivu yangu Kwa ndugu zangu Hawa ambao ki ukweli hata hatujuaji Intelligent businessman Edo kissy Bolotoba Monetary doctor na wengine ambao tuchat mpk PM

walinitia moyo na kunipa faraja kubwa sana. Mawazo ya kujikataa na kujichoka yakaondoka!

Mbali na maumivu makali niliyo nayo Bado Nina amini sana ninayo kesho iliyo njema! Ninazidi kuimarika kila siku! Mawazo ya kufa yameondokaa!

Ninaamini Kuna njia mtu hupita ili kuyafikia mafanikio yake yalipo, ambayo njia hiyo ni maumivu.

Si tu kama magumu na maumivu yanatughafirisha mioyo Bali ni ukweli kwamba, hata maumivu ni mwalimu anayeweza kutufundisha na kutuandaa kwa ajili ya mafanikio!

Katika Mapito haya niliyo nayo na ambayo Nina amini hayatadumu milele nimejifunza mengi, na nimeimarika sana!

Kuna muda Huwa nikijifanyia Tathimini Binafsi pasipo kijionea huruma ninakubali kuwa ilikuwa ni lazima nipite haya ninayopitia kwani kama ningeyapata mafanikio ya ki maisha kabla ya kupita Mapito haya ningekuwa mwenye kiburi, nisingekuwa na utu kwa wengine, ningekuwa si mtu mwenye nidhamu katika matumizi ya fedha!

Ni pagumu ila nimekataa kukata tamaa!

Ni pagumu ila nimechagua kuyafanya magumu ninayopitia kama darasa!

Nadiriki kusema! Nina amini kesho yangu ni njema sana
 
Ni pagumi ila nimekataa kukata tamaa!
Ni pagumi ila nimechagua kuyafanya magumu ninayopitia kama darasa!

Nadiriki kusema! Nina amini kesho yangu ni njema sana
Naam jobless go further go harder isn't that what we are here for?, if not why bother?
 
Leo ukilipwa hela yako ya kibarua nimekaa paleeeee 😂
Oya Jana basi tu kapewa eneo tufyeke tulikua 14 basi yule boss akasema asubuhi tupewe chakula na mchana tupewe msosi, kufika muda wa malipo tunapewa 4k Kila mtu, kuuliza mbona kazi kubwa kuliko shekeli tulizopewa tukaambiwa Kwani msosi ulikuwa wa bure?
 
I just asked whether you a gay
The question needed a yes or no answer
The implication was that he is a homosexual. Why ask a question that you obviously know it's out of the context? Was the intended respondent any how involved in homosexuality?🤔

This is where you crossed the line and drew first blood.
 
NENO LA KUWATIA MOYO MAJOBLESS - KUTOKA KWA SEMAJI LA CHAMAAAA CHA MAJOBLESS

Naelewa by experience magumu na maumivu wanayopitia jobless wenzangu! Si swala la utani wa si swala la beza.

Kule nyumbani Tanga, tuna msemo unasema "Ukitaka kuyajua maumivu ya kuungua, ingiza mkono kwenye moto unaopikia kahawa"

Sikumbuki ni lini! Ila nilikuwa ni mmoja wapo wa jobless ambaye nimekata Tama sana, kiwango changu Cha kukata tamaa kulikuwa ni kikubwa kiasi cha kutamani kifo kuliko kuishi!

Kwenye Biblia ipo habari ya Ayubu, Moja ya maneno aliyowahi kuyasema Kipindi anapita Nyakati Ngumu ni haya;

Ayubu 7:15
[15]Hata nafsi yangu huchagua kunyongwa,
Na kuchagua kifo kuliko maumivu yangu haya.

So that my soul chooseth strangling, and death rather than my life.

Lakini pasipo aibu wala kujificha niliyasema maumivu yangu Kwa ndugu zangu Hawa ambao ki ukweli hata hatujuaji Intelligent businessman Edo kissy Bolotoba Monetary doctor na wengine ambao tuchat mpk PM

walinitia moyo na kunipa faraja kubwa sana. Mawazo ya kujikataa na kujichoka yakaondoka!

Mbali na maumivu makali niliyo nayo Bado Nina amini sana ninayo kesho iliyo njema! Ninazidi kuimarika kila siku! Mawazo ya kufa yameondokaa!

Ninaamini Kuna njia mtu hupita ili kuyafikia mafanikio yake yalipo, ambayo njia hiyo ni maumivu.

Si tu kama magumu na maumivu yanatughafirisha mioyo Bali ni ukweli kwamba, hata maumivu ni mwalimu anayeweza kutufundisha na kutuandaa kwa ajili ya mafanikio!

Katika Mapito haya niliyo nayo na ambayo Nina amini hayatadumu milele nimejifunza mengi, na nimeimarika sana!

Kuna muda Huwa nikijifanyia Tathimini Binafsi pasipo kijionea huruma ninakubali kuwa ilikuwa ni lazima nipite haya ninayopitia kwani kama ningeyapata mafanikio ya ki maisha kabla ya kupita Mapito haya ningekuwa mwenye kiburi, nisingekuwa na utu kwa wengine, ningekuwa si mtu mwenye nidhamu katika matumizi ya fedha!

Ni pagumu ila nimekataa kukata tamaa!

Ni pagumu ila nimechagua kuyafanya magumu ninayopitia kama darasa!

Nadiriki kusema! Nina amini kesho yangu ni njema sana
Naam tusife moyo, maumivu yapo, magumu yapo jua ni Kali, mvua ni yetu, njaa, kubezwa na kila aina ya mateso kwakua hatuna kitu Cha kuwafurahisha watu ama hata nafsi zetu,

Tuzidi kusonga mbele, tufanye chochote ili mradi tupate kuishi huku tukiangalia ni namna gani ya kupata unafuu wa maisha na kujenga kesho iliyo Bora kwetu!
 
The implication was that he is a homosexual. Why ask a question that you obviously know it's out of the context? Was the intended respondent any how involved in homosexuality?🤔

This is where you crossed the line and drew first blood.
Kwa niaba ya Qashy Lilith ni dada yangu naomba mumsamehe alipo kosea dhidi ya Intelligent businessman .......... Naomba radhi kwa kukosea kwake.....
 
Oya Jana basi tu kapewa eneo tufyeke tulikua 14 basi yule boss akasema asubuhi tupewe chakula na mchana tupewe msosi, kufika muda wa malipo tunapewa 4k Kila mtu, kuuliza mbona kazi kubwa kuliko shekeli tulizopewa tukaambiwa Kwani msosi ulikuwa wa bure?
Usikubali kula kwenye kibaruaaaa utalipwa nauli tu 😂
 
Naam tusife moyo, maumivu yapo, magumu yapo jua ni Kali, mvua ni yetu, njaa, kubezwa na kila aina ya mateso kwakua hatuna kitu Cha kuwafurahisha watu ama hata nafsi zetu,

Tuzidi kusonga mbele, tufanye chochote ili mradi tupate kuishi huku tukiangalia ni namna gani ya kupata unafuu wa maisha na kujenga kesho iliyo Bora kwetu!
Be blessed brother
 
Back
Top Bottom