Ewe Jobless usiwahi haribu au katisha maisha yako kisa changamoto yoyote

Ewe Jobless usiwahi haribu au katisha maisha yako kisa changamoto yoyote

Mtu ambaye hajasoma tena unamzidi elimu anapambana Ameoa na ana watoto anasomesha kwa kazi za kuungaunga halafu wewe mwenyewe elimu unataka kuchukua maamuzi mabaya😀😀😀
Maisha yapo kikatili sana, kama ni mvivu, mzembe, legelege na hujishughulishi kwa chochote lazima yakuadhibu
na ndio maana nime wapa elimu na onyo ma jobless, nime shudia misiba na maamuzi ya ajabu kiukweli.
 
Ahsante mkuu kwa kutuencourage.....

Sema hali ni mbaya mpaka nimeona kuna forum, watu wanajadili kujiangamiza Sababu moja wapo ikiwa ni ujobless.. Mungu atusaidie...
 
Back
Top Bottom