Ewe jobless wakikuchokoza usipigane, huo ni mtego

Ewe jobless wakikuchokoza usipigane, huo ni mtego

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Uzi huu ni kwa ajili ya kuwapa mbinu vijana wa chama Cha ma jobless pro max.

Ili waweza kujua na kuelewa namna bora ya kuishi na kuwa salama, ndani ya jamii yenye mchanganyiko wa watu mbali mbali.

vijana nawapa onyo ukiwa jobless usi pende kupigana, maana kufanya hivyo ni kuweka maisha yako kwenye hatari.

Sababu ni nyingi mno, ila mimi Kama rais wa ma jobless nawapa hizi chache mji funze.

01, Wana taka wakufunge jela ili waku komoe.
jobless naku ambia hao wanao kuzunguka sio kwamba ni wote wanao kupenda, wengine ni wanafiki wanao kutafutia sababu ili upotee.

hivyo kaa kwa umakini, hata waku kasirishe vipi wewe kula buyu.

02, Wana taka wakufukuze ikiwa una kaa kwao.
ewe jobless ikiwa una jua Ume pewa hifadhi kwa mtu, Jitahidi moyo wako uwe Kama jiwe na hisia zako ziwe zime poa Kama barafu.

Maana uki jifanya mwepesi kurusha mikono, uta enda kulala kwenye daraja la manzese tip top.

03, Wana taka wakufanye msukule.
Ewe jobless tambua jamii yetu ina watu wa aina mbali mbali, wengine ni washirikina ambao

Wana tafuta sababu ya kukufanya kibarua wao wa bila malipo.
hasa huku mikoani michezo hiyo ni mingi na ime shamiri.

04, Nguvu zako ni mtaji wa pesa kwa wengine.
Kijana Kama ujuavyo kuingia polisi ni bure ila kutoka ni pesa.

Sasa we endelea kuji fanya boyka wa kimatumbi, Kama huja enda kuvunja mawe ndumo.

05, uhuru na amani ni kitu muhimu.
ewe jobless hakuna kitu kizuri Kama kuwa huru, maana uta fanya hili na lile kadri uonavyo ni sawa.

Hivyo stay safe and protect your freedom.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.

OIG2.vJOHM7IeFtP_00qEgC.jpeg
 
Ewe msajili wa chama Cha ma jobless dosho12 hakuna vijana wapya?

Wakili wa ma jobless Selikavu tuki kamatwa uje kututoa.
Mh Raisi wa majobless pro max Intelligent businessman ondoa shaka kabisa mimi kama msajili wa wanachama sitalala nitatembea kila kona kuhakikisha watanzania majobless wanaoteseka, kunyanyasika, kusimangwa wanakuwa wanachama rasmi wa chama cha majobless pro max
 
Mh Raisi wa majobless pro max Intelligent businessman ondoa shaka kabisa mimi kama msajili wa wanachama sitalala nitatembea kila kona kuhakikisha watanzania majobless wanaoteseka, kunyanyasika, kusimangwa wanakuwa wanachama rasmi wa chama cha majobless pro max
Naam, ila kuwa makini usi onekane mzururaji.
 
Back
Top Bottom