Ewe jobless wakikuchokoza usipigane, huo ni mtego

Ewe jobless wakikuchokoza usipigane, huo ni mtego

Ndio inavyotakiwa muda mwingi, ukiweza kujipa challenge ukatoka kwenye comfort zone unagundua uwezo ulionao.

Dawa yakuwasaidia jobless wengi ni kuwaambia ukweli mchungu kama anavyofanya Chimakeke. Lazima watu wajue hakuna anayewaonea huruma na dawa ni moja, kutoka maghetoni na kukubali kupambana
Sema mkuu kwetu napachukia sana yan ukute binti mnaling'ana labda unamzd 1-5 hizo dharau utakazo Kula mwanangu you will never believe plus ujobless wangu mpaka kuna mda degree yangu naificha mzee nafs ya camfluge kulingana na mazingira
 
we si bora uli panga, watu tuli lala vibarazani mzee.

kuja kulala kitandani nika ona Kama luxury fulani 😁😂
Mzee baba🤣acha upumbafu hapa hatushindani kutambiana shida tulizopitia kimsingi ni kuwekana Sawa namna ya kupiga hatua Mgeni wa Jiji ameongea jambo la msingi sana kutoka maghetoni muhimu sana kutest walahu chungu tamu za sehemu nyingine
 
Uzi huu ni kwa ajili ya kuwapa mbinu vijana wa chama Cha ma jobless pro max.

Ili waweza kujua na kuelewa namna bora ya kuishi na kuwa salama, ndani ya jamii yenye mchanganyiko wa watu mbali mbali.

vijana nawapa onyo ukiwa jobless usi pende kupigana, maana kufanya hivyo ni kuweka maisha yako kwenye hatari.

Sababu ni nyingi mno, ila mimi Kama rais wa ma jobless nawapa hizi chache mji funze.

01, Wana taka wakufunge jela ili waku komoe.
jobless naku ambia hao wanao kuzunguka sio kwamba ni wote wanao kupenda, wengine ni wanafiki wanao kutafutia sababu ili upotee.

hivyo kaa kwa umakini, hata waku kasirishe vipi wewe kula buyu.

02, Wana taka wakufukuze ikiwa una kaa kwao.
ewe jobless ikiwa una jua Ume pewa hifadhi kwa mtu, Jitahidi moyo wako uwe Kama jiwe na hisia zako ziwe zime poa Kama barafu.

Maana uki jifanya mwepesi kurusha mikono, uta enda kulala kwenye daraja la manzese tip top.

03, Wana taka wakufanye msukule.
Ewe jobless tambua jamii yetu ina watu wa aina mbali mbali, wengine ni washirikina ambao

Wana tafuta sababu ya kukufanya kibarua wao wa bila malipo.
hasa huku mikoani michezo hiyo ni mingi na ime shamiri.

04, Nguvu zako ni mtaji wa pesa kwa wengine.
Kijana Kama ujuavyo kuingia polisi ni bure ila kutoka ni pesa.

Sasa we endelea kuji fanya boyka wa kimatumbi, Kama huja enda kuvunja mawe ndumo.

05, uhuru na amani ni kitu muhimu.
ewe jobless hakuna kitu kizuri Kama kuwa huru, maana uta fanya hili na lile kadri uonavyo ni sawa.

Hivyo stay safe and protect your freedom.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.

View attachment 3229284
Mh. Rais,
Kuna moja umesahau hapo:-
WASITONGOZE,
maana watakamuliwa mpunga ambao hawana!

Wawe wanachama waaminifu wa Chaputa
 
Back
Top Bottom