Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Uvivu tu wakulima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu wewe Umesha Lima wapi??, ili tuige kwa mfanoNendeni mkalime muache kutegemea ugari wa shikamoo
Hayo mashamba Wana yapata bure?, Kama mbolea yenyewe kuipata ni kipajiUvivu tu wakulima
Kama kazi ipo, wape vijana waichape😁Kazi ipo .
Unanichekeshaga na hizi kaul zako[emoji3]
Sasa mtu jobless alafu wakufunge tena umewakosea nn, kuwa jobless ni gereza tosha wakuu usiombe upitie hiyo haliUzi huu ni kwa ajili ya kuwapa mbinu vijana wa chama Cha ma jobless pro max.
Ili waweza kujua na kuelewa namna bora ya kuishi na kuwa salama, ndani ya jamii yenye mchanganyiko wa watu mbali mbali.
vijana nawapa onyo ukiwa jobless usi pende kupigana, maana kufanya hivyo ni kuweka maisha yako kwenye hatari.
Sababu ni nyingi mno, ila mimi Kama rais wa ma jobless nawapa hizi chache mji funze.
01, Wana taka wakufunge jela ili waku komoe.
jobless naku ambia hao wanao kuzunguka sio kwamba ni wote wanao kupenda, wengine ni wanafiki wanao kutafutia sababu ili upotee.
hivyo kaa kwa umakini, hata waku kasirishe vipi wewe kula buyu.
02, Wana taka wakufukuze ikiwa una kaa kwao.
ewe jobless ikiwa una jua Ume pewa hifadhi kwa mtu, Jitahidi moyo wako uwe Kama jiwe na hisia zako ziwe zime poa Kama barafu.
Maana uki jifanya mwepesi kurusha mikono, uta enda kulala kwenye daraja la manzese tip top.
03, Wana taka wakufanye msukule.
Ewe jobless tambua jamii yetu ina watu wa aina mbali mbali, wengine ni washirikina ambao
Wana tafuta sababu ya kukufanya kibarua wao wa bila malipo.
hasa huku mikoani michezo hiyo ni mingi na ime shamiri.
04, Nguvu zako ni mtaji wa pesa kwa wengine.
Kijana Kama ujuavyo kuingia polisi ni bure ila kutoka ni pesa.
Sasa we endelea kuji fanya boyka wa kimatumbi, Kama huja enda kuvunja mawe ndumo.
05, uhuru na amani ni kitu muhimu.
ewe jobless hakuna kitu kizuri Kama kuwa huru, maana uta fanya hili na lile kadri uonavyo ni sawa.
Hivyo stay safe and protect your freedom.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
View attachment 3229284
Unaongeza siku za kuishi ukiwa na furaha/kucheka...Unanichekeshaga na hizi kaul zako[emoji3]
Nimelima mpunga tabora heka tatu za kuzugiamkuu wewe Umesha Lima wapi??, ili tuige kwa mfano
Vijana hamuaminikiKama kazi ipo, wape vijana waichape😁
bro binadam wengine wana roho za kunguni, yaani hata kukohoa wata sema una piga kelele😂😂Sasa mtu jobless alafu wakufunge tena umewakosea nn, kuwa jobless ni gereza tosha wakuu usiombe upitie hiyo hali
Hicho ndo kichaka pekee ambacho ma bro mna jifichiaga, swaga nyingi halafu uta sikia dogo uta weza😂😂Vijana hamuaminiki
Dahbro binadam wengine wana roho za kunguni, yaani hata kukohoa wata sema una piga kelele😂😂
na yeye aache wenge, una pigana kisa maharage😁😂Mdogo wangu juzi kampiga binti kwenye kimgahawa kisa hajawekewa maharage kaenda ndani kaambiwa faini laki tano
vipi shamba uli pewa bure, hata uki pewa bure hizo gharama za shamba + kulima jobless ana toa wapi?Nimelima mpunga tabora heka tatu za kuzugia
Kidumu chama Cha ma jobless pro maxUjobless ni kazi ngumu sana ya kuamka n kusubiri usiku ulale na vizinga vya hap na pale .....Mh raisi na baraza lote la viongozi mm kama mwanachama tiifu wa jobless sitapigana
KidumuKidumu chama Cha ma jobless pro max