Ewe kijana acha kujifanya mtenda mwema kwenye maisha ya watu hao wanakuzunguka hakuna anayekuwazia mema

Ndio maana mimi nliamua kuwa msiri tu,hadi kwa ndugu
 
Inaonekana hivi uwazavyo ndivyo ulivyo
 
Ukifanya weka uliopita uwezo na kutothamini ya kwako ndi shida, ila tofauti na hapo, wema ni jambo jema
Inaonekana braza alipigwa na kitu kizito hataki ndugu, marafiki wala washikaji hii ni Depression mleta mada asaidiwe badala ya kubezwa
 
Pia jaribuni kubadili namba za simu bila taarifa mtanishukuru.(90% ya changamoto zinazokukabili zitatoweka ghafra)
Code moja matata sana hii, inanisaidia sana kwenye baadhi ya mishe. Nina line za voda, halotel, airtel na tigo naweza kutumia moja kwa miezi kadhaa baada ya muda naiweka nje naweka ya mtandao mwingine ile watu wanakuwa kama wameisahau.
 
Yes huyu mtoa mada ni mchawi tu. Binadamau gani usiyepanda kusaidia wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…