Ewe kijana acha kujifanya mtenda mwema kwenye maisha ya watu hao wanakuzunguka hakuna anayekuwazia mema

Ewe kijana acha kujifanya mtenda mwema kwenye maisha ya watu hao wanakuzunguka hakuna anayekuwazia mema

Wengine sisi huku tumeshalipuliza, hata hatukuelewi.......


3x5yWI.gif
 
Acha kujifanya mtenda mwema katika maisha ya watu hao wanaokuzunguka hakuna anayekuwazia mema huu ni ukweli japo ni mchungu......

Maisha tuliofikia hivi sasa watu wanaotuzunguka maeneo ya makazini, mtaani,majumbani ambao tunawaona kama ndugu,jamaa,mashemeji au marafiki hakuna anayekuwazia mema

Hao unawasaidia leo hii, hao unawakaribisha maishani mwako kama marafiki,Hao unawaita sijui ndugu zako mtoto wa mjomba sijui Shangazi, Hao unawaita washikaji zako wa faida ndio Hao Hao watakuja kuwa adui zako wa badae, ndio Hao Hao wachora Ramani,ndio Hao Hao watakaovujisha siri kwa adui,

Kamwe usije kumuamini mtu, chunga sana kinywa chako,saidia unapoweuza usipeweza achana nao pia epuka sana mazoea zoea .
Inaonekana hivi uwazavyo ndivyo ulivyo
 
Ukifanya weka uliopita uwezo na kutothamini ya kwako ndi shida, ila tofauti na hapo, wema ni jambo jema
Inaonekana braza alipigwa na kitu kizito hataki ndugu, marafiki wala washikaji hii ni Depression mleta mada asaidiwe badala ya kubezwa
 
Pia jaribuni kubadili namba za simu bila taarifa mtanishukuru.(90% ya changamoto zinazokukabili zitatoweka ghafra)
Code moja matata sana hii, inanisaidia sana kwenye baadhi ya mishe. Nina line za voda, halotel, airtel na tigo naweza kutumia moja kwa miezi kadhaa baada ya muda naiweka nje naweka ya mtandao mwingine ile watu wanakuwa kama wameisahau.
 
Mkuu ungenifaata tu pm tutakazungumza tuone kama na wafukuza sio kunisema hapa. Sijapenda kabisa.

Naishi na mtoto wa mjomba yupo form1 na shemeji wa kike yupo la2 saivi Daah nafanyaje sasa?

Binafsi nakukubali msemo usemao tenda wema nenda zako. Wengine hapa tulipo ni kwasabu ya hao wajomba ndo wamtufikisha hapa.

Nilimpigia mlinzi wa shule kipindi nasoma na kufukuzwa shule mzee akasema good bye 👋

Hata hapa kwangu usikae utaambukiza uhuni wadogo zako.

Break ya kwanza Kwa mjomba akanipokea tena kwakwe vijana walikuwa hawapendi shule kabisa.
Nilimueleza akaniuliza upo tyr kusoma Sasa? Au Bado na ukorofi wako nikamwambia nishaacha kabisa mjomba.

Akanipeleka shule Moja fln Hivi kuniombea nafasi then wakakubali ila nihame na uhamishi shule ticha wa kule hakuwa magumu kutoa uhamisho ni mengi ila Mimi anko ana mchango mkubwa sana Hadi hapa nilipo.

Wee una roho mbaya tu
Yes huyu mtoa mada ni mchawi tu. Binadamau gani usiyepanda kusaidia wengine
 
Back
Top Bottom