Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
nafurahia nyuzi zakoKwema,Mimi ndiyo mwenye zile stori mkuu
Mwaka jana au una hadithi ñyngine ulizoandika ?
Maake nilikariri I'd ya jack Daniels basi nkajua haupo kumbe upo! Bhn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nafurahia nyuzi zakoKwema,Mimi ndiyo mwenye zile stori mkuu
Naam kila kitu kimekaa mahala pake!Monetary doctor njoo kashuhudie kitu fulani hapa.
Sina zingine mkuunafurahia nyuzi zako
Mwaka jana au una hadithi ñyngine ulizoandika ?
Maake nilikariri I'd ya jack Daniels basi nkajua haupo kumbe upo! Bhn
Ngoja n
ikapitie zile zile.....
Mzee wangu
Nikipata muda nitaleta nyingine tuburudikeNgoja n
ikapitie zile zile.....
Mzee wangu
NaamAsante sana tutabadilika mzee
Kuna foleni ya kusaini Boom siku hizi, si unatumia app kwenye simu yako?😅😅😅labda ile ya kusaini Boom 😜
Tena muingine utakuta kaongozana na familia yake,mke na watotoNaomba nikazie hapo kwenye namba 1 Hilo lipo sana Tena sana darslam wanaume wanavaa boxer wanatembea barabaran au unakuta mtu kapak gar yake safi akishuka yeye kavaa kabukta boxer
Mbona huku nilipo sijawah ona hizi mambo au wenzetu uzungu mwing
Ukosefu wa maadili watoto nao wanakuja kuiga upuuz wa babaWa
Tena muingine utakuta kaongozana na familia yake,mke na watoto
Kwaal asilimia nyingi watoto huiga tabia kutoka Kwa wazazi.Ukosefu wa maadili watoto nao wanakuja kuiga upuuz wa baba
HakikaNaam kila kitu kimekaa mahala pake!
Safi Sana mkuu,lakini why ukajiita Poor BrainVijana pia tuwe humble mno..
Humbleness is pretending
Kama kijana kuwa na nidhamu Katika maisha yako.
Usijiingize katika mahusiano ambayo hayana faida kwako be mutually acha mazoea ya wanawake.
Achana na vijana wenye slogan za kipumbavu kama vile
""Tafuta pesa "".
Sikwambii usiwe na marafiki ila unapokua kijiweni acha kuchangia mada za ajabu ajabu ikiwemo kuongelea wanawake na mahusiano.
Linda sana afya yako maana kut mbea na wanawake wengi sio sifa na hakuna tuzo.
All in all kuwa na nidhamu
Nidhamu ni neno pana ila kuwa na nidhamu kwa kila kitu kwani nidhamu itakufundisha hekima...
Na kama ni kijana na jf hapa kaa mbali na makundi ya watu kama Vishu Mtata 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Kuna mda nakua addicted na vitu ambavyo watu wanaona. Seriously ni poor aiseee ila ndo maisha yangu nishachaguaSafi Sana mkuu,lakini why ukajiita Poor Brain
Mi nauchukia msemo "tafuta pesa" sijui kwa nini mkuu duh.Vijana pia tuwe humble mno..
Humbleness is pretending
Kama kijana kuwa na nidhamu Katika maisha yako.
Usijiingize katika mahusiano ambayo hayana faida kwako be mutually acha mazoea ya wanawake.
Achana na vijana wenye slogan za kipumbavu kama vile
""Tafuta pesa "".
Sikwambii usiwe na marafiki ila unapokua kijiweni acha kuchangia mada za ajabu ajabu ikiwemo kuongelea wanawake na mahusiano.
Linda sana afya yako maana kut mbea na wanawake wengi sio sifa na hakuna tuzo.
All in all kuwa na nidhamu
Nidhamu ni neno pana ila kuwa na nidhamu kwa kila kitu kwani nidhamu itakufundisha hekima...
Na kama ni kijana na jf hapa kaa mbali na makundi ya watu kama Vishu Mtata 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
HakikaKwaal asilimia nyingi watoto huiga tabia kutoka Kwa wazazi.
Kama ni mtu wa ibada ,watoto watakuwa hivyo,
Kama ni mtu wa dili chafu tegemea kuacha mbegu hiyo,
Hata kitendo cha kuonekana na mwanamke mwingine zaidi ya mama yao, tegemea baadhi ya watoto kukopi vitu vyako.
Ni kama utajiri tu,mbinu zilezile lazima watoto wafuate nyayo
Na wengi wanaosema hyo ukifatilia sana ni walimbukeni mkuu..Mi nauchukia msemo "tafuta pesa" sijui kwa nini mkuu duh.
Kabisa hawa wameharibu sana hiki kizazi ,vijana nao kwakujikuta wamechelewa kimbilio lao ni kamari. yaani uweke 1000 yako kesho uamke na million,sisemi haiwezekani,Na wengi wanaosema hyo ukifatilia sana ni walimbukeni mkuu..
Seriously naonaga mtu mshamba sana anavokua anaongea msemo huo.
Yaani huu ni ushamba sana