Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
Unafaa kuishi enzi za ujima kwa sababu una akili za kizamani (conservatism) this is new world bro, kama technology imekushinda kuitumia usipoteze watu tunaoweza kwenda nayo.Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima wenye nywele zao nyeupe dogo akasepa.
Kama ni mfanyakazi Invest, kama mjasiliamali pambana,nk..Hakuna pesa ya Bure Dunia hii ya kikapitalist
mkuu ni kufanya kazi tu..no easyUnafaa kuishi enzi za ujima kwa sababu una akili za kizamani (conservatism) this is new world bro, kama technology imekushinda kuitumia usipoteze watu tunaoweza kwenda nayo.
Iko hivi ...Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima wenye nywele zao nyeupe dogo akasepa.
Kama ni mfanyakazi Invest, kama mjasiliamali pambana,nk..Hakuna pesa ya Bure Dunia hii ya kikapitalist
Yes! alipaswa kuishi zama za kale huyu!Unafaa kuishi enzi za ujima kwa sababu una akili za kizamani (conservatism) this is new world bro, kama technology imekushinda kuitumia usipoteze watu tunaoweza kwenda nayo.
Jidanganye na utakufa bado ukiwa mtumwa, amka wewe.mkuu ni kufanya kazi tu..no easy
Ila nkusahihishe bana hizo biashara zote ulizosema si utapeli ni biashara nzuri na zinalipa mno kifupi kila biashara inalipa vizuri sana.Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima wenye nywele zao nyeupe dogo akasepa.
Kama ni mfanyakazi Invest, kama mjasiliamali pambana,nk..Hakuna pesa ya Bure Dunia hii ya kikapitalist
hivi ontario kapigwa ban?au anaandaa fursa ingineUjinga no kudhani kua Luna easy means ya kumake mkwanja.... Hua nawashangaa sana wanaomlaumu ontario
baada ya kushambuliwa sana alisema atabaki kua mpenzi mtazamaji/msomaji hatapost chochote tenahivi ontario kapigwa ban?au anaandaa fursa ingine
Wanasema Ruge+wakina AY/FA wote dogo aliwachezesha kwny hio mambo aisee.Kwa taarifa za kunyapianyapia za kiintelijensia ndug ontario yupo SA anakula kipupwe baada ya kuwapiga viazi wa TZ
Najua hiyo forex unayoiandika hata huijui vizur au ulijarib ikakushinda, dunia ya sasa pesa nying inapatikana kwny technology, vijana wale wawili waliofanikiwa kugundua tu Instagram kwa sasa wana utajir wa trillion 2 za kibongo, mark zuckenberg mwanzilish wa Facebook usiseme. Forex ni fursa kubwa sana kwa vijana wa kitanzania lakin niungane kusema forex aloiongelea Ontario ilikuwa na story nying za uongo, forex ni longterm investment. Vijana wa kibongo baada ya mwaka sasa mwanga umeonekana na wameanza Kupata hizo million 50 n.k. Najua hujafanya research vizur sasa usije na conclusion yako na kufanya vijana watanzania wenye uwezo na akili wasijaribu fursa hiyo. Naomba usijumuishe forex na hizo Q net sijui nn. Wewe endelea na biashara ya kuchuuza waache vijana wajarib fursa hii adhimNakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.