iJamii
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 1,960
- 1,502
Hasa utapeli wangu unaingia kwenye nini!?Tapeli wewe acha uwongo wako hapa walahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa utapeli wangu unaingia kwenye nini!?Tapeli wewe acha uwongo wako hapa walahi
hahahahaaa nilikuwa nacheka sana nilivyokuwa daslamu na kuona watu ndani ya suti nikasema kweli hii tanzania mpyaYani ao aim ndio unaibiwa mchana kweupe kuna wasukuma chuon walishauriana wajiunge wakajiunga ad leo hamna kitu mwaka wa tatu ad sasa ni suti tu wanavaa wengine walikata tamaa mapema tu na walijinad kwel baada ya miez mi5 watakua mamilionea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NB:UKISHAKUWA MWANACHAMA WA HAYA MANETWORK MARKETING HAUNA TOFAUTI NA TAPELI MANENO MENGI TU
hahahahaaa nilikuwa nacheka sana nilivyokuwa daslamu na kuona watu ndani ya suti nikasema kweli hii tanzania mpya
hasa wakila pozi na suti zao na tatizo kubwa sisi vijana wa karne hii tunapenda maisha ya kianasa mno na kupata kwa urahisi tunatakiwa tuelewe na tutambue hamna maisha mazuri yanakuja kiurahisi kama unafanya kazi fanya kweli kama unasoma soma kweli cha msingi tujali muda na tuelewe wapi tunapotaka kwenda