Ewe kijana wa kitanzania hakuna njia ya mkato kwenye hili

Ewe kijana wa kitanzania hakuna njia ya mkato kwenye hili

Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima wenye nywele zao nyeupe dogo akasepa.
Kama ni mfanyakazi Invest, kama mjasiliamali pambana,nk..Hakuna pesa ya Bure Dunia hii ya kikapitalist
Haipendezi mwanaume kuwa muongo...
Wewe kama umejaribu forex ukaliwa, kaa kimya kuna wenzako wanatengeneza mkwanja..
Njia za kutafuta pesa zipo nyingi na si kila njia ni sahihi kwa kila mtu..
Kwa mfano ukiona mtu anafuga samaki anapiga pesa,usifikiri kila mtu akifuga samaki atapata pesa..
Forex is not for everyone, especially negative minded like you.

Kwa hiyo wewe kama huiwezi forex, kaa kimya acha wanaoiweza wale pesa...usitake kila mtu afanane na wewe..

Ndiyo maana hata kule shuleni(advance) combination zipo nyingi sana na zenye future nzuri lakini kila mtu alichqgua kulingana na uwezo wa kichwa chake.

Watanzania tunapenda maisha ya msafara, yaani akili yako inavyowaza unatqka kila mtu awaze kama wewe..
Shame one you man.
 
that's why i like jamii forum sababu huwezi kutoka mtupu
 
Kumbe bado mnakumbuka machungu yenu...! Nilijua yamekwishaa
 
Haipendezi mwanaume kuwa muongo...
Wewe kama umejaribu forex ukaliwa, kaa kimya kuna wenzako wanatengeneza mkwanja..
Njia za kutafuta pesa zipo nyingi na si kila njia ni sahihi kwa kila mtu..
Kwa mfano ukiona mtu anafuga samaki anapiga pesa,usifikiri kila mtu akifuga samaki atapata pesa..
Forex is not for everyone, especially negative minded like you.

Kwa hiyo wewe kama huiwezi forex, kaa kimya acha wanaoiweza wale pesa...usitake kila mtu afanane na wewe..

Ndiyo maana hata kule shuleni(advance) combination zipo nyingi sana na zenye future nzuri lakini kila mtu alichqgua kulingana na uwezo wa kichwa chake.

Watanzania tunapenda maisha ya msafara, yaani akili yako inavyowaza unatqka kila mtu awaze kama wewe..
Shame one you man.

Nmefuatilia forex trading mda mrefu kias fulani nmeilewa jins ya kudrade kwenye demo account,

Siku mtu akiniambia faida nayoipata mm inatoka wapi ntafurahi sana Kwenye forex trading

Hao wamiliki wa forex wanapataje faida kama sio mpaka watu wauunguze account,,,

Kuna broker wa aina mbili
1. Market maker hawa faida yao inaeleweka inapatikana kwa mm au wewe kuunguza account,,

2. Ambao sio makert maker,, kupitia kujisomea wanasema wanalipwa na forex owner wenyewe kwahyo wao kupata kwao ni mpaka mm au wewe npate,, ni vyema sawa,, but hyo hela ya faida yangu inatoka wapi ,,kwa fikra zangu nadhani/nahsi kuna mtu amepoteza Ndio mm nikapata,,

Forex trading is all about speculation motive, so there's slightly difference between speculation and gambling ,,

Ukweli forex trading sio kitu ambacho kila mtu anaweza fanya hasa ambaye upeo wake ni mdogo ,, ukiona unaweza fanya na ukapata chochote fanya maana maishan kila kitu kina risk

But Ningependa kupata ufafanuz je faida nayoipata mm inatoka wapi!!!!
 
Yani ao aim ndio unaibiwa mchana kweupe kuna wasukuma chuon walishauriana wajiunge wakajiunga ad leo hamna kitu mwaka wa tatu ad sasa ni suti tu wanavaa wengine walikata tamaa mapema tu na walijinad kwel baada ya miez mi5 watakua mamilionea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NB:UKISHAKUWA MWANACHAMA WA HAYA MANETWORK MARKETING HAUNA TOFAUTI NA TAPELI MANENO MENGI TU
kaka umeongea ukweli japo labda kwa kutaja jina la mtu wengine watakupingaa

kuna rafiki yangu alipigwa sound akiwa makumbusho na kampuni fulani ya hizo ishu kama sikosei ni am global mdada akasimama akatoa ushuhuda ndani ya miezi nane kapa M13 akanunua gari na mambo mengine yule rafiki naee akaja kuniambia nilimshauri usianzee bila ya kunisikia akaenda kutoa laki tano na machenchii umepita hadi mwaka hajarudisha na hiyo helaa

hao jamaa ni matapeli na wanajua vijana wa sasa nchini Tanzania wanapenda maisha ya juu na kwa harakaa kikubwa tupambanee ipo siku tutatoka.

hao wadau ukiwakutaga kwenye site zao kila mtu kala suti daaaah [emoji28] [emoji28] [emoji28] watanzania hatujafikia huko kudanganywa na mitoko hiyo MUNGU anawaona nyie matapelii
 
Ila nkusahihishe bana hizo biashara zote ulizosema si utapeli ni biashara nzuri na zinalipa mno kifupi kila biashara inalipa vizuri sana.

Muhimu mtu asikimbilie kwenye biashara yeyote kisa kasikia inalipa sana. Fanya biashara ambayo unaona unaipenda na unaweza kuimudu.

Mfano mie kwangu nnaona biashara ya ufugaji na kilimo kwangu ndiyo ambazo haziniumizi sana. Ila hili halimaanishi kuwa kila mtu ataona sawa sawa na mie nnavyoona kwenye sector hiyo.

So ndugu punguza ushamba na usitake kuwaaminisha kila mtu aamini ujinga wako unaoamini wewe.

Ukae ukijua wote hatuwezi kuwa wafugaji au wakulima au traders au bankers au accountants au lawyers kwa wakati mmoja. Kila mtu atafanya kile ambacho Mungu kamjalia na ana uwezo nacho
Tapeli wewe acha uwongo wako hapa walahi
 
Yani ao aim ndio unaibiwa mchana kweupe kuna wasukuma chuon walishauriana wajiunge wakajiunga ad leo hamna kitu mwaka wa tatu ad sasa ni suti tu wanavaa wengine walikata tamaa mapema tu na walijinad kwel baada ya miez mi5 watakua mamilionea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NB:UKISHAKUWA MWANACHAMA WA HAYA MANETWORK MARKETING HAUNA TOFAUTI NA TAPELI MANENO MENGI TU
True
 
Yan kuna jamaa yangu alikua msabato safi kabisa ajui ata kumshawshi mtu kaingia kwny ayo mabiashara kawa tapeli wa maneno adi vitendo ye ni kukopa watu daily kulipa alipi anadai atatajirika soon kazunguka kufanya semina ad viatu vimeisha lakin amna kitu na wanajua kung'ang'ana hao sio mchezo ukiwa huna ufaham na ayo mambo unaweza amin
 
Mkuu ongelea vitu Vingine sio forex,,, hii ndio inanifanya naishi mjini hapa,,, we kaa na ujinga wako huo,,,
 
Na mimi nilikuwa kwenye mkumbo wa kudanganywa na ONTARIO. Nilipoteza pesa nyingi sana lakini sikukata tamaa. Namshukuru sana jamaa manake ule uongo wake hatimae unanisaidia kupunguza makali ya maisha. Ila ni baada ya kusota sana tofauti na alivyokuwa anarahisisha mambo.
 
saa nyingine tukifanya kazi hela haiseviki tunakua desperate na kucheza kamari,lol
 
Uzuri maisha haya tangu unazaliwa mpaka unakufa ni full betting/kamari.
 
Back
Top Bottom