Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Haipendezi mwanaume kuwa muongo...Nakumbuka forex, forever living na orifem zilivyowajaza watu ujinga wakipewa shuhuda feki wakaamini na kujitupia humo.
Leo wanajutia tamaa zao hahahahaaa.
Kijana Ontario aliwapiga pesa watu wazima wenye nywele zao nyeupe dogo akasepa.
Kama ni mfanyakazi Invest, kama mjasiliamali pambana,nk..Hakuna pesa ya Bure Dunia hii ya kikapitalist
Wewe kama umejaribu forex ukaliwa, kaa kimya kuna wenzako wanatengeneza mkwanja..
Njia za kutafuta pesa zipo nyingi na si kila njia ni sahihi kwa kila mtu..
Kwa mfano ukiona mtu anafuga samaki anapiga pesa,usifikiri kila mtu akifuga samaki atapata pesa..
Forex is not for everyone, especially negative minded like you.
Kwa hiyo wewe kama huiwezi forex, kaa kimya acha wanaoiweza wale pesa...usitake kila mtu afanane na wewe..
Ndiyo maana hata kule shuleni(advance) combination zipo nyingi sana na zenye future nzuri lakini kila mtu alichqgua kulingana na uwezo wa kichwa chake.
Watanzania tunapenda maisha ya msafara, yaani akili yako inavyowaza unatqka kila mtu awaze kama wewe..
Shame one you man.